Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Maswali mengine yanashangaza.
Mtu ameumwa kwa zaidi ya mwaka, halafu unashangaa kuona kapungua mwili!
Lililo muhimu ni kubwa kuliko yote, ndugu yetu yu hai, na anazidi kuimarika. Ameamka akiwa na kumbukumbu yake kamili. Kukaa ICU kwa siku zote hizo, angeweza kupoteza hata kumbukumbu.
Mungu yu mwema, tunashukuru kwaajili ya ndugu yetu J kuupata uponyaji.