Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsantePole kwa kuugua.
Kumbe ni ww prof j za huko mkuuu 😁😁😁Asante
Asante Marumo Gallants msalimie jirani yako Rivers United, mwambie wananchi wa Tanzania tunampendaPole sana classmate
Moja ya album Bora ya hip-hop hapa tzMbunge Pekee aliyevinia rekodi ya Kuongoza Binadamu na Wanyama pale Mikumi. J.O.S.E.P.H
Jifunze
Ona
Sema
Elimika
Pitia
Hamasika
Ukimwi mbaya,jamaa kakonda kawa mdogo utafikiri ndo kwanza kamaliza form six.Sasa asiache dozi kabisa.View attachment 2607618
Joseph Haule. Game changer wa hip-hop ya Tanzania. Baba wa hip-hop ya Tanzania. Mungu ni mwema yupo sawa.
Ni figo sio ukimwi.Ukimwi mbaya,jamaa kakonda kawa mdogo utafikiri ndo kwanza kamaliza form six.Sasa asiache dozi kabisa.
Mmmh, haya mafumbo yenu sio poa!!Ewaaaaaa na kinapiga kimya kimyaaa