johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mungu ni mwema Wakati wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa watu wale nini? Maana miwanga ndio imejaa sana mtaaniSipendi kusema watu lakini mdomo wake umelika kwasababu ya pombe. Ujumbe hapa ukifika miaka 40 jitahidi achana na pombe za kuzidi, sukari, vyakula vya wanga, fanya mazoezi na medical check up!. Bila kuelezana ukweli na vitu vilivyo changia tatizo lakini hatuta tenda haki kutoa elimu ya afya. Pole sana Prof Jay
Ukoje aisee na sie tupate kujikingaNyie ugonjwa wa figo kama huna pesa una akwenda na maji nenda nenda muhimbili ndio utaona kuwa ugonjwa wafigo sio
Muulize Black Rhino msemaji wa Familia,Mungu ni mwema wakati wote
Hivi aliumwa nini?
Kufungua na nini ? Wapi anaonekana kaungua mbon sioni ?Nasikia kaungua,sijui kweli😔