Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Hakika MUNGU ni Mwema, miongoni mwa habari kubwa keo jioni ni picha ya Proj Jizzle ambayo imechukua takribani zaidi ya Siku 400 hajaonekana kwenye Mitandao ya Kijamii kutokana kuugua.

MUNGU ni Mwema Wakati wote[emoji120]
20230502_201551.jpg
 
Sipendi kusema watu lakini mdomo wake umelika kwasababu ya pombe. Ujumbe hapa ukifika miaka 40 jitahidi achana na pombe za kuzidi, sukari, vyakula vya wanga, fanya mazoezi na medical check up!. Bila kuelezana ukweli na vitu vilivyo changia tatizo lakini hatuta tenda haki kutoa elimu ya afya. Pole sana Prof Jay
Sasa watu wale nini? Maana miwanga ndio imejaa sana mtaani
 
Back
Top Bottom