Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Asante mama Samia kwa kujali afya ya watanzania. Karibu Prof Jay tuendeleze maridhiano. Wale jamaa walimtelekeza
1683111173307.png
 
Unataka kusema alikuwa anakunywa pombe katika kipindi chote cha mwaka mzima akiwa kitandani?.
Kwa nini usiseme dawa zimemfanya mdomo kuwa hivyo?
Tuache ujuaji

Inawezekana hufuatilii habari mwanzo kabisa alipolazwa walisema hao hao madaktari kwamba ana matatizo ya figo ambayo yamechangiwa na (1) Kutokujua na kuangalia afya yake (2) Pombe. Lakini huo mdomo kwa wanaojua umelika na ukilika hivyo ni kwasababu ya pombe. Kama unafikiri mimi nadanganya na hupendi mawazo yangu kasome jumbe za wengine.
 
Ila pombe aisee john mtembezi akiwa mdomoni unaona hisi kabisa lips inawaka moto sasa kama ndio mtu wa kila siku lips lazm zibabuke
 
Ila pombe aisee john mtembezi akiwa mdomoni unaona hisi kabisa lips inawaka moto sasa kama ndio mtu wa kila siku lips lazm zibabuke
Na azizi k je anakunywa sema nyie mnakejeli prof jay sijui mnamatatizo gani Mpo Kama mashetani tu
 
Dah!

Na azizi k je anakunywa sema nyie mnakejeli prof jay sijui mnamatatizo gani Mpo Kama mashetani tu
Sijamkejeli mtu wala hakuna sehemu nimemuandika prof nimezungumzia tu jinsi midomo inavyoweza kuathirika sabb ya pombe kali
 
Siku 127ICU na mwaka mmoja umelazwa muhimbili acheni Mungu aitwe Mungu kaka Joseph umepewa nafasi nyingine na Mungu wetu wa Rehema itumie vizuri sana tena jiweke karibu sana na Mungu wako.
 
Mungu azidi kukubariki. Nilichogundua Watz wengi wanakufa kwa kukosa matibabu mazuri. Asingepata matibabu mazuri leo angekua kwa baba muumba.
Hivi hizi BIMA za serikali zina cover gharama za pmagonjwa kama haya ya muda mrefu na gharama kubwa?

Mungu asimamie.
 
Back
Top Bottom