Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Pale taasisi ya kibunge inapoonekana ya mchezo mchezo tuu.
 
Wahenga walisema kwamba ''Msafara wa mamba haukosi kenge''
 
Possibility ni kubwa ukiangalia na upepo unavyoonekana.

Sent from my TECNO AB7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa vile ni loud speaker,anaweza akapata.
Lakini hapo Lusinde atakosa kampani.
 
Kwa vile ni loud speaker,anaweza akapata.
Lakini hapo Lusinde atakosa kampani.
Kweli hapo atakosa lakini hapana yupo Kishimba yule mbunge wa kahama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…