Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Hakuna haja ya kubishana, June sio mbali.
 
Niffa Nina pata wasiwasi kwamba utakuwa Unafanya kazi TCRA au Unafanya kazi kwa Ukaribu na Multichoice au Na kusaga
 
Mentor wake Ruge angekuwepo CMG ingekuwa mbali sana kwenye burudani
Kuwa serious Mkuu, Kusaga ndio Mentor wa Ruge.
Hata mimi nilikuwa kama wewe, wakati ndio umekuja kuamua kuwa kichwa alikuwa Joe ila hakuwa akijitanguliza kama mwenzie (R.I.P)

Huyo Ruge mpaka anafariki CMG ilikuwa imeshaondoka kwenye ramani, haikuweza kuhimili upepo wa EFM na Wasafi.
 
Mpaka anawekeza ameshajiridhisha na uwekezaji huo.
 
Kwenye nyuzi zako unazowasilisha hujawahi kuongopa kila kitu kinatokea kwelii sasa sijui kwenye appointment za huko kunako watasema wao kama uliwahi kuwaongopa!
 
Yeah ana miradi mingi sana...ukiwa ofcn kwake utaona baadhi ya ramani ya mipango. Alikuwa na project ya baharini... escape one to escape to ..to mbudya to Kigamboni..hizo bot zinazunguka ktk hizo points tu
Watu kama Kusaga ndio wanatakiwa kupewa PhD ya heshima sasa, sio wanasiasa wasio na mchango wowote katika jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…