Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..mie najua Joe movement zake..atasumbua sana ktk media na tech.. na ni mtu wa kuona mbali za mbaliChanzo nyeti ninacho na natamba nacho. Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..mie najua Joe movement zake..atasumbua sana ktk media na tech.. na ni mtu wa kuona mbali za mbaliChanzo nyeti ninacho na natamba nacho. Lol
Aminia mkuu..chanzo unacho...ajisemee na mzee mpili.. una watuChanzo nyeti ninacho na natamba nacho. Lol
Hakuna haja ya kubishana, June sio mbali.Napenda sana unavyotoa taarifa sio kama wale wapumbavu wengine wanajifanya kuweka code ili waonekane wa maana.
But....
Streaming channel ya kibongo itakayokua sawa na Hulu, Netflix, Amazon Prime au Disney+ hapo anatupanga. Bado sana... Kwa bongo. Na kwa content zipi tulizonazo??
Yeah ana miradi mingi sana...ukiwa ofcn kwake utaona baadhi ya ramani ya mipango. Alikuwa na project ya baharini... escape one to escape to ..to mbudya to Kigamboni..hizo bot zinazunguka ktk hizo points tuNamkubali sana Joe, akiwekeza anawekeza kwelikweli. Hii itakuwa kubwa.
Umejibu vzrHakuna haja ya kubishana, June sio mbali.
Niffa Nina pata wasiwasi kwamba utakuwa Unafanya kazi TCRA au Unafanya kazi kwa Ukaribu na Multichoice au Na kusagaView attachment 2975932
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App maarufu ulimwenguni Netflix.
Ni App ya burudani…
Maudhui makubwa yatakayopatikana ndani ya App hiyo ni burudani. Zikiwemo series na movies za kibongo, habari za michezo na kutakuwemo pia na vipindi vya matukio ya wanamuziki wa Bongo Flava kama vile matukio wakati wa kuchukua video za nyimbo zao (behind the scenes)
Ni uwekezaji mkubwa!
Taarifa zinasema Joe Kusaga amefanya uwekezaji mkubwa sana katika App hiyo, kuanzia ununuzi wa vifaa vya kisasa vinavyosemekana kuwa na uwezo sawa na App nyingine kubwa za kimataifa kama Prime Video, Hulu, Netflix n.k
Pia itakuwa inapatikana kwenye TV za Smart na Android kama zilivyo hizo App nyingine.
Ni mradi wake binafsi.
Huu ni mradi binafsi wa Joe Kusaga nje ya miradi ya familia yake ambayo wanamiliki miradi mingi kwa pamoja ukiwemo Clouds media.
Pia ni mradi wake bila ya ushirika kama ilivyo Wasafi n.k
Kuzinduliwa June mwaka huu
Mpango wa awali wa uzinduzi ulikuwa tarehe 9 June ambayo ni siku ya kuzaliwa ya Jose Kusaga, lakini kuna mambo yalitokea yakapelekea uzinduzi kusogezwa mbele.
Licha ya changamoto hizo zilizojitokeza, bado uzinduzi utafanyika tarehe yoyote ndani ya mwezi huohuo (June).
Kupitia chanzo cheti,
Nifah.
Kuwa serious Mkuu, Kusaga ndio Mentor wa Ruge.Mentor wake Ruge angekuwepo CMG ingekuwa mbali sana kwenye burudani
Ruge alikuwa na cheo gani pale CMG?Kuwa serious Mkuu, Kusaga ndio Mentor wa Ruge.
Hata mimi nilikuwa kama wewe, wakati ndio umekuja kuamua kuwa kichwa alikuwa Joe ila hakuwa akijitanguliza kama mwenzie (R.I.P)
Miaka 5Hiv ni miaka mingap toka jamaa adondoke?
Mpaka anawekeza ameshajiridhisha na uwekezaji huo.Issue ni content hata Netflix yenyewe ipo mbioni kufeli baada ya competitors kuanzisha VOD zao hivyo kuzinyofoa Netflix..., mteja aki-subscribe anataka as much content as possible under one roof..., sasa hapo utakuta competition inakubania content zao
Dunia ishakuwa kijiji ndio maana ni vigumu kuna na Youtube ya Bongo per see sababu kule Youtube kuna content zaidi
Anyway all the best
Kwenye nyuzi zako unazowasilisha hujawahi kuongopa kila kitu kinatokea kwelii sasa sijui kwenye appointment za huko kunako watasema wao kama uliwahi kuwaongopa!View attachment 2975932
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App maarufu ulimwenguni Netflix.
Ni App ya burudani…
Maudhui makubwa yatakayopatikana ndani ya App hiyo ni burudani. Zikiwemo series na movies za kibongo, habari za michezo na kutakuwemo pia na vipindi vya matukio ya wanamuziki wa Bongo Flava kama vile matukio wakati wa kuchukua video za nyimbo zao (behind the scenes)
Ni uwekezaji mkubwa!
Taarifa zinasema Joe Kusaga amefanya uwekezaji mkubwa sana katika App hiyo, kuanzia ununuzi wa vifaa vya kisasa vinavyosemekana kuwa na uwezo sawa na App nyingine kubwa za kimataifa kama Prime Video, Hulu, Netflix n.k
Pia itakuwa inapatikana kwenye TV za Smart na Android kama zilivyo hizo App nyingine.
Ni mradi wake binafsi.
Huu ni mradi binafsi wa Joe Kusaga nje ya miradi ya familia yake ambayo wanamiliki miradi mingi kwa pamoja ukiwemo Clouds media.
Pia ni mradi wake bila ya ushirika kama ilivyo Wasafi n.k
Kuzinduliwa June mwaka huu
Mpango wa awali wa uzinduzi ulikuwa tarehe 9 June ambayo ni siku ya kuzaliwa ya Jose Kusaga, lakini kuna mambo yalitokea yakapelekea uzinduzi kusogezwa mbele.
Licha ya changamoto hizo zilizojitokeza, bado uzinduzi utafanyika tarehe yoyote ndani ya mwezi huohuo (June).
Kupitia chanzo cheti,
Nifah.
Uko vzrKuwa serious Mkuu, Kusaga ndio Mentor wa Ruge.
Hata mimi nilikuwa kama wewe, wakati ndio umekuja kuamua kuwa kichwa alikuwa Joe ila hakuwa akijitanguliza kama mwenzie (R.I.P)
Huyo Ruge mpaka anafariki CMG ilikuwa imeshaondoka kwenye ramani, haikuweza kuhimili upepo wa EFM na Wasafi.
Hahahahaha mimi nipo km proof reader..maana siezi andika uzi hata km kitu najua 100%Na sasa hivi nimehama kwenye ubuyu, nadeal na taasisi/makampuni kwanza. Chanzo changu kimeshiba, ni mimi tu nichague ya kuandika.
Watu kama Kusaga ndio wanatakiwa kupewa PhD ya heshima sasa, sio wanasiasa wasio na mchango wowote katika jamii.Yeah ana miradi mingi sana...ukiwa ofcn kwake utaona baadhi ya ramani ya mipango. Alikuwa na project ya baharini... escape one to escape to ..to mbudya to Kigamboni..hizo bot zinazunguka ktk hizo points tu
Hahahahaha vyuo vikuu vinatakiwa kuona hiyo unayoonaWatu kama Kusaga ndio wanatakiwa kupewa PhD ya heshima sasa, sio wanasiasa wasio na mchango wowote katika jamii.