Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Hongera kwake...

Sina uhakika kuna wapenzi wengi kiasi gani wa filamu za kitanzania, ila kama wapo wa kutosha basi ni moja ya biashara nzuri...

Kikwazo pekee kitakuwa ni ughali wa internet...
 
Hongera kwake...

Sina uhakika kuna wapenzi wengi kiasi gani wa filamu za kitanzania, ila kama wapo wa kutosha basi ni moja ya biashara nzuri...

Kikwazo pekee kitakuwa ni ughali wa internet...
Kwa mtu kama Kusaga mpaka anafikia uamuzi wa kuwekeza pesa nyingi maana yake ana uhakika kuwa itamlipa.
 
Kwa mtu kama Kusaga mpaka anafikia uamuzi wa kuwekeza pesa nyingi maana yake ana uhakika kuwa itamlipa.

Maybe yes, maybe no...Mungu amsaidie afanikiwe kama alivyofanya projections zake

Customer behavior ya Watanzania ni very unpredictable...

Kwa utafiti wangu usio wa kina sana, kwa content ambayo ni HD ukifanya streaming kwa kutumia simu, data usage huwa kati ya 500MB hadi 600MB na ni wastani wa saa nzima na nusu hivi, hii ni sawa na shilingi 1500 (pesa ambayo ni sawa na 20% ya pato la Mtanzania kwa siku)
 
Naona wengi hoja zenu zimebase kwenye matumizi ya vifurushi vya intaneti, lakini naamini akiwa na maudhui bora watu watasukumwa kuangalia bila kujali ugumu wa maisha na kipato kiujumla.
 
Netflix ni nini mkuu. Inatumikaje?
 
Naona wengi hoja zenu zimebase kwenye matumizi ya vifurushi vya intaneti, lakini naamini akiwa na maudhui bora watu watasukumwa kuangalia bila kujali ugumu wa maisha na kipato kiujumla.
Kwani hiyo app inatumika kwa matumizi gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…