Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Huwa sina mashaka na habari zako za udaku,mara nyingi huwani za kweli,komalia hukuhuku utafika mbali,kule kwenye mpira hebu tuache na simba yetu
Lakini aliyenipa habari ya Simba ni mwenzenu Mkuu, tena mwanachama hai kabisa.
 
Hadi afya yake imeimarika! Nimeliona hilo na ni jambo la kheri.
Nashukuru kama unaamini andiko langu lilimgusa.
Wadau wote tuliomsema hata kwa kebehi na dhihaka lakini imemsaidia sana ujue kuna nyakati adui aweza kukupa tahadhari yenye msaada kuliko rafiki aisee
 
Nadhani uwezo wa App na ubora wa contents ni vitu tofauti. Uwezo ni jinsi inavyofanya kazi ya kurusha vipindi bila kukwama kwama.

App nyingi za Kiafrika, zikitembelewa na wateja wengi kwa wakati mmoja basi zinaganda au kuleta tabia zisizoeleweka.

Ova
 
Oh! Kila la kheri kwa Joe. Inaweza kuwa biashara nzuri, ikiwa App itakuwa na vinavyopendwa na kizazi cha Milenia, maana chenyewe ndicho kipo sana online.

Kingine, hongera sana mrembo Nifah kwa kuimarika sana kwenye uandishi wako. Umekuwa na mabadiliko makubwa sana siku hadi siku.

Uandishi safi kabisa unaojikita kwenye taarifa husika, bila 'takataka' zisizo na ulazima kwenye mada kuu. Kiukweli, umeimarika sana. Hongera.

Ova
 
That's a lot coming from you b..., nashukuru sana.
 
Itakaa poa sana ila waboreshe content pia
 
Ap App kama hizo bongo zipo nyingi, swala ni mapokezi yake yatakuwaje. Bongo kwenye payment za application subscription fee bado tuko nyuma sana sana.
 
Ap
App kama hizo bongo zipo nyingi, swala ni mapokezi yake yatakuwaje. Bongo kwenye payment za application subscription fee bado tuko nyuma sana sana.
Hilo nakubali Mkuu ila mbona Mange ameweza kutoboa? Issue ni content basi.
 
Hilo nakubali Mkuu ila mbona Mange ameweza kutoboa? Issue ni content basi.
Fee kule ni buku, of course na content zake japokuwa hana legal permit za kuendesha app yake kwa Tanzania. Akicheza vizuri na subscription fee na content atatoboa ila kwa industry ya uigizaji saivi, hizo content nzuri hawezi kuzipata. Ngoja tumpe benefit of the doubt
 
Sio buku kama buku, ni dola moja nadhani unaijua exchange rate yake sasa hivi.

Anyways, nami nasema tumpe hiyo benefit of the doubt, huyu ni Kusaga after all.
 
Maskini Warumi! Aendelee kupumzika kwa aman as Nifah anajitahid kuziba pengo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…