Hv bado kuna wanaume wanavaaga chupi hadi leo?!!!![emoji445][emoji445][emoji444][emoji443][emoji441][emoji441] mafanikio ni kama chupi.... Hakikisha hawajui Rangi..[emoji445][emoji445][emoji441][emoji441]
Maccm mmezoea kudanganywa hivyo huo ni ujumbe wenuYani upate hasara halafu kila leo uendelee kufanya kilekile...hahaha akawadanganye wajinga
Huenda wakawepo, ila sina uhakika...Hv bado kuna wanaume wanavaaga chupi hadi leo?!!!!
Ahaa nikajua umeona kijana huko mtaani kwenu amevaa chupi...ndo nikataka kujua namna ya kumchughulikiaHuenda wakawepo, ila sina uhakika...
Pia nimequote shairi la nyimbo tu young killer ft bele 9 & fid q... Hatuna kesi na yeyote
Wanaume wa dar wana mafumbo ya kike sasa si angetaja tu hizo redio
Dah Mkuu hii line bila shaka umeitoa kwenye ngoma la Madonna ' Frozen'...kitambo.You only see what your eyes want you to see.
Yes mkuu nimeitoa kwenye ngoma ya Madonna one of my all time favouritesDah Mkuu hii line bila shaka umeitoa kwenye ngoma la Madonna ' Frozen'...kitambo.
....you only see what your eyes wants to see
....how can life be what you want it to be you're frozen
....when your heart is not open'
si kila mara ukifanya biashara utegemee kupata faida hali ya uchumi kwa sasa ni ngumu sana tofauti na enzi zileeee mbona walikua hawawabaniii hao mnaosema wanabaniwa?Hakuna mtu wa kufanya biashara kichaa ya bila faida ...kusaga asione watu ni watoto wadogo
Mi sijamshutumu Mh Rais lakini Kusaga jana amesikika amesema ameshaonea na Mh rais kuhusu hilo Tamasha lifanyike kabla ya mwaka huu kuisha! Sasa unaweza jiuliza inakuwaje akaongee na Mh Rais kisa Fiesta? manaake anatumia uo mwanya ili ashinikize tamasha lifanyike Leaders na si kwengine kama angekubaliana na Manispaa kwanini asipeleke uwanja Uhuru? manaake anataka Mh Rais aingilie kati hilo suala lake afosi ngoma irudi Leaders sasa sijui kama Mh Rais kawakubalia au lah! hapo tusubiri ila nimeandika hili kuonyesha mapema endapo litafanyika Leaders basi Mh Rais kashinikiza.Duh....
Kwa hiyo unataka kusema Rais tuliye naye anaendekeza sana uswahiba? Yupo tayari kuvunja sheria ili mradi kuwafurahisha marafiki zake? Tuanzie hapo kwanza.