Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

[emoji445][emoji445][emoji444][emoji443][emoji441][emoji441] mafanikio ni kama chupi.... Hakikisha hawajui Rangi..[emoji445][emoji445][emoji441][emoji441]
Hv bado kuna wanaume wanavaaga chupi hadi leo?!!!!
 
Kama hakuna faida yoyote si waache? Kuna mfanyabiashara atafanya jambo ambalo halina faida kabisa kwake? Huyo sio mfanyabiashara na hayupo.
 
Huenda wakawepo, ila sina uhakika...

Pia nimequote shairi la nyimbo tu young killer ft bele 9 & fid q... Hatuna kesi na yeyote
Ahaa nikajua umeona kijana huko mtaani kwenu amevaa chupi...ndo nikataka kujua namna ya kumchughulikia
 
Hata viongozi wa CCM hawapati faida yoyote, sema wanang'ang'ania madarakani kwa ajili ya kuwapa huduma wananchi tu.
 
Kuna vitu vingi ambavyo havina faida lakini watu wanaendelea kufanya... Mfano kuendelea kuwa mwajiriwa huku hakuna faida...Mfano je watu wataacha kazi, pamoja na mafao kuwa asilimia 25 tu...
Ulishaingia, kuna mengi ya kufikiria..
Watu wako ulaya au marekani, wakimwambia aliyoko bongo,usije huku hakuna ishu sana, basi mbongo atajibu kama majibu yaliyoko hapa, kama kubaya mbona hawarudi bongo..

Biashara fulani haina faida, aah hataki wengine wapate, ndio maana anasema hivyo..

Mara nyingi aliyopo upande huu hufikiri aliyopo ng'ambo ya fensi anafaaidi..

Mimi kwa kutumia mifano ya biashara nyingine Tanzania, naweza amini hakuna faida sana kwenye fiesta..

Mfano fanya biashara hapa TZ halafu uone mikondo inayotaka hela yako..Leseni jiji, Mapato TRA, OSHA, FIRE, SDL, Brela annual returns, kodi ya chumba cha biashara, mishahara, umeme, maji, ulinzi, uchafu, EFD machine nk.. halafu mtu aseme mbona hawaachi? Jaribu ndipo utagundua maneno ya Kusaga ni kweli,.lakini hapo inakuwa too late...
 
Pumzi imekataa.
Ila mimi naamini sidhani kama kwa fiesta 1 wanaweza kuingizs mil 50.
 
You only see what your eyes want you to see.
Dah Mkuu hii line bila shaka umeitoa kwenye ngoma la Madonna ' Frozen'...kitambo.
....you only see what your eyes wants to see
....how can life be what you want it to be you're frozen
....when your heart is not open'
 
Dah Mkuu hii line bila shaka umeitoa kwenye ngoma la Madonna ' Frozen'...kitambo.
....you only see what your eyes wants to see
....how can life be what you want it to be you're frozen
....when your heart is not open'
Yes mkuu nimeitoa kwenye ngoma ya Madonna one of my all time favourites
 
Hakuna mtu wa kufanya biashara kichaa ya bila faida ...kusaga asione watu ni watoto wadogo
si kila mara ukifanya biashara utegemee kupata faida hali ya uchumi kwa sasa ni ngumu sana tofauti na enzi zileeee mbona walikua hawawabaniii hao mnaosema wanabaniwa?
 
CEO wa CMG Mr. Joseph Kusaga jana kupitia mahojiano yako katika 360 ulisikika ukisema kuwa Fiesta lazima ifanyike ndani ya mwaka huu, Lakini ulienda mbali sana na kufikia kusema umeshaongea hadi na Mh Rais kwaajili ya tamasha lako la Fiesta.

Kimsingi Afisa Utamaduni wa Manispaa ya kinondoni kwenye barua yake kwenu yenye Kumb No. KMC/UT/KMO/01 ya tarehe 23/11/2018 haikupiga marufuku Tamasha la Fiesta isipokuwa eneo lalamikiwa ambalo linafanyika tamasha lenu lilikuwa na karibu na Hospital na kuwataka tamasha lenu lipelekwe Tanganyika Peakers-kawe, Ata kama musingetaka lifanyike Tanganyika Peakers labda kutokana na miundombinu basi ata Uwanja wa uhuru ungefaa pia.

Kwenda kuongea na Mh Rais kushinikiza Tamasha lenu lifanyike Leaders tena ni kuto tii mamlaka za chini sasa musije kufikia hatua mukawa munamshinikiza Mh Rais avunje utaratibu wa mamlaka zake za chini kisa uswahiba wenu.

Nakutaka Kusaga kuheshimu mamlaka kwani manispaa ya Kinondoni ishapiga marufuku kwa shughuli zozote za matamasha kufanyika hapo Leaders na usitumie mwanya wa uswahiba wako na Mh Rais kushinikiza yale unayoyataka ilimradi sheria na taratibu zivunjwe.

CEO fuata utaratibu.
 
Duh....

Kwa hiyo unataka kusema Rais tuliye naye anaendekeza sana uswahiba? Yupo tayari kuvunja sheria ili mradi kuwafurahisha marafiki zake? Tuanzie hapo kwanza.
 
Duh....

Kwa hiyo unataka kusema Rais tuliye naye anaendekeza sana uswahiba? Yupo tayari kuvunja sheria ili mradi kuwafurahisha marafiki zake? Tuanzie hapo kwanza.
Mi sijamshutumu Mh Rais lakini Kusaga jana amesikika amesema ameshaonea na Mh rais kuhusu hilo Tamasha lifanyike kabla ya mwaka huu kuisha! Sasa unaweza jiuliza inakuwaje akaongee na Mh Rais kisa Fiesta? manaake anatumia uo mwanya ili ashinikize tamasha lifanyike Leaders na si kwengine kama angekubaliana na Manispaa kwanini asipeleke uwanja Uhuru? manaake anataka Mh Rais aingilie kati hilo suala lake afosi ngoma irudi Leaders sasa sijui kama Mh Rais kawakubalia au lah! hapo tusubiri ila nimeandika hili kuonyesha mapema endapo litafanyika Leaders basi Mh Rais kashinikiza.
Sidhani kama Mh Rais atauingia huu mkenge!
Nina imani na Mh Rais.
 
Back
Top Bottom