Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Hapa ndipo ulipojaa ujinga mwingi wa wanachadema mpaka wabatambulika kama nyumbu.MY TAKE;
Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.