Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Dua la kuku ... Kama ulitaka Mbowe afie kwenye hicho kiti, basi mkaanzishe chama kingine awe mwenyekiti.Lissu ana tabia za balehe! Mbaya zaidi hakujipanga na huu uenyekiti alikurupuka sana! Mbaya zaidi mashabiki wake ni watoto wenye reasoning Za hovyo sana! Alionesha udhaifu mkubwa sana kwa Msigwa na mbaya zaidi Hana intellectual maturity ya kuongoza wenzie. Muda ni hakimu mzuri sana tutaona!