Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Nawewe umekua sehemu ya hawa watoto? Kweli muda ni hakimu wa yote!Mwisho wake ni Chadema kusonga mbele. Kama hutaki basi nenda kwenye chama chako bora chama cha mama.
Nawewe umekua sehemu ya hawa watoto? Kweli muda ni hakimu wa yote!Mwisho wake ni Chadema kusonga mbele. Kama hutaki basi nenda kwenye chama chako bora chama cha mama.
Huwa nashangaa sana wanaojiita wanademokrasia huona ni haki sana kukosoa wengine lakini ni dhambi kubwa wao kukosolewa!! Hii tabia ndo inaharibu sana watu! Leo ukimkosoa Lissu unatupiwa maneno machafu as if huyo mtu ni malaika! Lissu kachafua sana watu Ila yeye akikosolewa anakasirika sana! Ni Yale Yale ya Magufuli kujiita msafi na muwazi Ila hakupenda uwazi wala kukosolewa! Hawa watu huwa na ugonjwa wa akili.kumbe kuna mambo mnaziba masikio siyo? unaposema Sugu alimshinda Msigwa kwa Rushwa bila ushahidi hiyo ni nini? Kumbuka wakati unasema hayo huyo Msigwa kishahamia ccm na kutukana Chadema, huku Sugu ukiwa naye Chadema,
Jambo kama hili mnataka tulinyamazie ili iweje na kwa manufaa ya nani?
Tujifunze kuheshimiana, hii ndio inaitwa Stronger together
Lissu ana tabia za balehe! Mbaya zaidi hakujipanga na huu uenyekiti alikurupuka sana! Mbaya zaidi mashabiki wake ni watoto wenye reasoning Za hovyo sana! Alionesha udhaifu mkubwa sana kwa Msigwa na mbaya zaidi Hana intellectual maturity ya kuongoza wenzie. Muda ni hakimu mzuri sana tutaona!Aisee hata mimi hii ilinikwaza sana TL sometimes huwa anatoa maboko sana, tatizo la TL anapenda sana sifa, Aya sasa nasikia msigwa anarud najiuliza sijui itakuwaje?? , binafs baada ya kumteuwa mshikaji wake kuwa mwanasheria wa chama na kuwaachq kina kibatala na wengine ambao wamepambania chama, teuz za TL hazina Afya kwa chama
Mnara wa babeli huooooJoseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025
MY TAKE;
Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.
Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.
Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
Sasa wewe kila siku unalalamika sisi tufanyeje?Nawewe umekua sehemu ya hawa watoto? Kweli muda ni hakimu wa yote!
Lini na wapi Lissu amemchafua Sugu ? Weka ushahidi wako hapaKwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
Nimelalamika nini na kwa nani? Yaani Mimi nilalamike kisa siasa?Sasa wewe kila siku unalalamika sisi tufanyeje?
Kiongozi mkweli anaweza kufiwa na taasisi yake kama ni ya waongo, lakini kwa Chadema inayosimamia ukweli haiwezi kumfia.TAL CDM ITAFIA MIKONONI MWAKE
Kwahiyo wewe wakati wa kugombea nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Nyasa ulikuwa umefariki na sasa umefufuka.Lini na wapi Lissu amemchafua Sugu ? Weka ushahidi wako hapa
YAANI MACHADEMA MAJINGA SANA YAAANI MNACHAFUANA HALAFU UNATEGEMEA AJE AMPOKEE ADUI YAKE KWA SHANGWE? SUGU HAYUPO CHADEMA KIROHO YUPO KIMWILI TU NDIYO MAANA ALIPOENDA MAREKANI ALIENDA KWA SHUGHURI ZAKE TU HAKUNA HATA SIKU MOJA ALIITAJA CHADEMA KULE WALA ULE UJINGA WENU WA NO REFORM NO ELECTION HAKUZUNGUMZIA KABISA HAPO NDIYO MJUE TAYARI FITO ZINAGAWANWAKwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
TRAOLE UNAWEZA KUMLINGANISHGA NA HUYU MBURULA LISSU? ACHENI MASIHARA BWANA ILE NI ISSUE NYINGINE SIYO DEBE TUPU KAMA LISSUKiongozi mkweli anaweza kufiwa na taasisi yake kama ni ya waongo, lakini kwa Chadema inayosimamia ukweli haiwezi kumfia.
Ona kule Burkina Faso jinsi watu walivyo kuwa wanatabiri Ibrahim Taore nchi itaparaganyika kwa kusimama na ukweli, lakini ndio kwanza inazidi kuimarika na ukweli unasimama
LISSU MHUNI TU KAMA WALIVYO WAJINGA WENGINEKwahiyo wewe wakati wa kugombea nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Nyasa ulikuwa umefariki na sasa umefufuka.
Mch Msigwa kashatimkia CCM Lissu anataka CDM wajibu hoja zake za kipumbavu za matumizi mabovu.
Ikiwa CAG katoa hati safi Mch Msigwa hana ujuzi wowote wa uhasibu kasoma uchungaji miezi mitatu Lissu anataka chama kimjibu !.
Lissu kabla hajawa Mwenyekiti alikuwa akikinanga chama chake usiku na mchana leo yeye Mwenyekiti hataki watu waseme.
Mwamba anaenda kujiuzulu uwanachama wa Chadema!Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
Wewe ndiye bwege kweli kweli tuhuma alizokuwa anazusha Msigwa zilikuwa zinakichafua chama hivyo alichokuwa anashauri Lissu ni kuwa huo uzushi ukanushwe ili kukisafisha chama kwani uongo ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa watu watauamini.Uchawa wako kwa Mbowe bado unauendekeza wakati Mbowe mwenyewe alishakubali matokea na anaendelea na maisha yake kama kawaida.Kwahiyo wewe wakati wa kugombea nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Nyasa ulikuwa umefariki na sasa umefufuka.
Mch Msigwa kashatimkia CCM Lissu anataka CDM wajibu hoja zake za kipumbavu za matumizi mabovu.
Ikiwa CAG katoa hati safi Mch Msigwa hana ujuzi wowote wa uhasibu kasoma uchungaji miezi mitatu Lissu anataka chama kimjibu !.
Lissu kabla hajawa Mwenyekiti alikuwa akikinanga chama chake usiku na mchana leo yeye Mwenyekiti hataki watu waseme.
Tundu Lissu alimchafuaje Sugu?Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
1. Kuna hela chafu kutoka kwa mama Abduli zimeingizwa katika uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ili kibaraka wao ashinde.Too much jamani..wapi Lisu kamchafua Sugu?
Sio rushwa tu. Walisema rushwa iliyotokana na pesa za mama Abduli! Rafiki yao alipohamia kwa mama Abduli wakamtetea kuwa alikuwa anaonewa sana ndani ya CDM. Ni hivi karibuni ndio wameanza kudiriki kumkosoa. Tunakumbuka pia " msigwa ana hoja ambazo zinapaswa zijibiwe"!kumbe kuna mambo mnaziba masikio siyo? unaposema Sugu alimshinda Msigwa kwa Rushwa bila ushahidi hiyo ni nini? Kumbuka wakati unasema hayo huyo Msigwa kishahamia ccm na kutukana Chadema, huku Sugu ukiwa naye Chadema,
Jambo kama hili mnataka tulinyamazie ili iweje na kwa manufaa ya nani?
Tujifunze kuheshimiana, hii ndio inaitwa Stronger together
Naweza kupata walau video au nakara yoyote ya Lisu kumchafua Sugu? Kama hutojali, tuma hapa kaka au tuma link pleaseKwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
Leo figganiga kakuwahi😅😅Baada ya ziara ya kikazi iliyojaa Mafanikio Nchini Marekani, Mwenyekiti huyo wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji wa Kimataifa na Mfanyabiashara, Bilionea Joseph Mbilinyi, Atahutubia Taifa kupitia Waandishi wa habari kwenye ofisi za Kanda Jijini Mbeya
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3276574
Mambo ya kina Abdalla Henry MwamkomboziKwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.