Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Uko hai au umekufa?Naweza kupata walau video au nakara yoyote ya Lisu kumchafua Sugu? Kama hutojali, tuma hapa kaka au tuma link please
Uko hai au umekufa?Naweza kupata walau video au nakara yoyote ya Lisu kumchafua Sugu? Kama hutojali, tuma hapa kaka au tuma link please
Sijawahi kugombea kuwahi kuandika jambo jf, Najisikia faraja sana wadau wengine wakiandika mambo ya ChademaLeo figganiga kakuwahi😅😅
Saa tano asubuhi imeshapita.....habari ziko wapiBaada ya ziara ya kikazi iliyojaa Mafanikio Nchini Marekani, Mwenyekiti huyo wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji wa Kimataifa na Mfanyabiashara, Bilionea Joseph Mbilinyi, Atahutubia Taifa kupitia Waandishi wa habari kwenye ofisi za Kanda Jijini Mbeya
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3276574
Achana na hao vijana wa Mwenyekiti wa zamaniNaweza kupata walau video au nakara yoyote ya Lisu kumchafua Sugu? Kama hutojali, tuma hapa kaka au tuma link please
Lakini hawazidi majambazi, mafisadi na majizi ya kura yaliyokubuhu ya huko CCMLISSU MHUNI TU KAMA WALIVYO WAJINGA WENGINE
Usiondoke jfSaa tano asubuhi imeshapita.....habari ziko wapi
Hilo Neno Smart Kwa wanasiasa wa bongo liondoe mkuuSugu ni smart politician, hawezi kujibizana na mapunguani.
YouTube iko Mwanzo tvSaa tano asubuhi imeshapita.....habari ziko wapi
Kwaiyo alienda kutalii USA Kwa michango ya walalahoi wa chadema?Baada ya ziara ya kikazi iliyojaa Mafanikio Nchini Marekani, Mwenyekiti huyo wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji wa Kimataifa na Mfanyabiashara, Bilionea Joseph Mbilinyi, Atahutubia Taifa kupitia Waandishi wa habari kwenye ofisi za Kanda Jijini Mbeya
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3276574
Huna hoja, kapuku wee!Kwa
Kwaiyo alienda kutalii USA Kwa michango ya walalahoi wa chadema?
Sasa chawa wa suguHuna hoja, kapuku wee!
HUWEZI KUKUTANA NA WATU WA AINA HIYO CCM NICHMA MAKINILakini hawazidi majambazi, mafisadi na majizi ya kura yaliyokubuhu ya huko CCM
Utajuaje nawe saizi yako kuvishwa dera kukata miuno na kushangilia kama zuzu.HUWEZI KUKUTANA NA WATU WA AINA HIYO CCM NICHMA MAKINI
Tajiri unakuwaje chawa wa Mbowe?Hakuna tajiri anayeweza kulamba nyayo za mtu, fanya Utafiti
ILa we inakunogea sana chademaJoseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025
MY TAKE;
Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.
Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.
Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
Wacha dharauTajiri unakuwaje chawa wa Mbowe?
Ngonjera za masikini zimejulikanaTajiri unakuwaje chawa wa Mbowe?
Jikite kwenye challenge yangu ndugu, share with us jinsi Lissu alivyo mchafua Sugu; mbona mambo mengine ni marahisi tuUko hai au umekufa?