PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwisho wake ni Chadema kusonga mbele. Kama hutaki basi nenda kwenye chama chako bora chama cha mama.
Nawewe umekua sehemu ya hawa watoto? Kweli muda ni hakimu wa yote!
 
Huwa nashangaa sana wanaojiita wanademokrasia huona ni haki sana kukosoa wengine lakini ni dhambi kubwa wao kukosolewa!! Hii tabia ndo inaharibu sana watu! Leo ukimkosoa Lissu unatupiwa maneno machafu as if huyo mtu ni malaika! Lissu kachafua sana watu Ila yeye akikosolewa anakasirika sana! Ni Yale Yale ya Magufuli kujiita msafi na muwazi Ila hakupenda uwazi wala kukosolewa! Hawa watu huwa na ugonjwa wa akili.
 
Lissu ana tabia za balehe! Mbaya zaidi hakujipanga na huu uenyekiti alikurupuka sana! Mbaya zaidi mashabiki wake ni watoto wenye reasoning Za hovyo sana! Alionesha udhaifu mkubwa sana kwa Msigwa na mbaya zaidi Hana intellectual maturity ya kuongoza wenzie. Muda ni hakimu mzuri sana tutaona!
 
Mnara wa babeli huoooo
 
TAL CDM ITAFIA MIKONONI MWAKE
Kiongozi mkweli anaweza kufiwa na taasisi yake kama ni ya waongo, lakini kwa Chadema inayosimamia ukweli haiwezi kumfia.
Ona kule Burkina Faso jinsi watu walivyo kuwa wanatabiri Ibrahim Taore nchi itaparaganyika kwa kusimama na ukweli, lakini ndio kwanza inazidi kuimarika na ukweli unasimama
 
Lini na wapi Lissu amemchafua Sugu ? Weka ushahidi wako hapa
Kwahiyo wewe wakati wa kugombea nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Nyasa ulikuwa umefariki na sasa umefufuka.

Mch Msigwa kashatimkia CCM Lissu anataka CDM wajibu hoja zake za kipumbavu za matumizi mabovu.

Ikiwa CAG katoa hati safi Mch Msigwa hana ujuzi wowote wa uhasibu kasoma uchungaji miezi mitatu Lissu anataka chama kimjibu !.

Lissu kabla hajawa Mwenyekiti alikuwa akikinanga chama chake usiku na mchana leo yeye Mwenyekiti hataki watu waseme.
 
Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
YAANI MACHADEMA MAJINGA SANA YAAANI MNACHAFUANA HALAFU UNATEGEMEA AJE AMPOKEE ADUI YAKE KWA SHANGWE? SUGU HAYUPO CHADEMA KIROHO YUPO KIMWILI TU NDIYO MAANA ALIPOENDA MAREKANI ALIENDA KWA SHUGHURI ZAKE TU HAKUNA HATA SIKU MOJA ALIITAJA CHADEMA KULE WALA ULE UJINGA WENU WA NO REFORM NO ELECTION HAKUZUNGUMZIA KABISA HAPO NDIYO MJUE TAYARI FITO ZINAGAWANWA
 
TRAOLE UNAWEZA KUMLINGANISHGA NA HUYU MBURULA LISSU? ACHENI MASIHARA BWANA ILE NI ISSUE NYINGINE SIYO DEBE TUPU KAMA LISSU
 
LISSU MHUNI TU KAMA WALIVYO WAJINGA WENGINE
 
Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
Mwamba anaenda kujiuzulu uwanachama wa Chadema!
 
Wewe ndiye bwege kweli kweli tuhuma alizokuwa anazusha Msigwa zilikuwa zinakichafua chama hivyo alichokuwa anashauri Lissu ni kuwa huo uzushi ukanushwe ili kukisafisha chama kwani uongo ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa watu watauamini.Uchawa wako kwa Mbowe bado unauendekeza wakati Mbowe mwenyewe alishakubali matokea na anaendelea na maisha yake kama kawaida.
 
Too much jamani..wapi Lisu kamchafua Sugu?
1. Kuna hela chafu kutoka kwa mama Abduli zimeingizwa katika uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ili kibaraka wao ashinde.
2. Kuna vikao na mazungumzo mengi hayawekwi kwenye social media. Kuchafuana kwingi kunafanyika huko. Kwa sababu aliyetoa hizi shutuma sio tu ni mwanachama wa CDM bali anatoka pia jimbo la Nyasa ni dhahiri anasikia mengi kuliko tunayo yaona mitandaoni au kwenye mikutano ya hadhara.

Ninachokiona mimi ni kuwa utawala mpya ulipoingia kuna baadhi ( Heche amejitahidi sana kukemea hii tabia toka mwanzo) ambao walitaka kuwakomesha wale walionyesha wazi kuwa ni Team Mbowe. Inaelekea wametambua kuwa kufanya hivyo kutaathiri chama chao na hivyo kuwaachia kazi hiyo vijana wa kwenye mitandao.

Amandla...
 
Sio rushwa tu. Walisema rushwa iliyotokana na pesa za mama Abduli! Rafiki yao alipohamia kwa mama Abduli wakamtetea kuwa alikuwa anaonewa sana ndani ya CDM. Ni hivi karibuni ndio wameanza kudiriki kumkosoa. Tunakumbuka pia " msigwa ana hoja ambazo zinapaswa zijibiwe"!

Amandla...
 
Leo figganiga kakuwahi😅😅
 
Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
Mambo ya kina Abdalla Henry Mwamkombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…