PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dua la kuku ... Kama ulitaka Mbowe afie kwenye hicho kiti, basi mkaanzishe chama kingine awe mwenyekiti.
 
Sugu ni smart politician, hawezi kujibizana na mapunguani.
Lissu ana matatizo sana! Anapenda mafarakano! Ila hawa vijana wawe wavumilivu tu mbona miaka yake itaisha na tutarudisha kiti!
 
Dua la kuku ... Kama ulitaka Mbowe afie kwenye hicho kiti, basi mkaanzishe chama kingine awe mwenyekiti.
Nimekwambia Mara nyingi sana wewe ni mtoto bado!! Upo kwenye kipindi cha balehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…