Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

Kwa mazingila ya wakati ule, tutakuwa tunamuonea bure Kabudi. Hali ilikuwa tete. Hata wale waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI, haikuwa kutoka moyoni. Mkamia naye, alishatoa ushuhuda wa yule Bwana, alivyokuwa hatari!
Haiko hivyo. Ile ilikuwa mbinu ya mazungumzo. Ni kawaida mno. Sema tu Kabudi kajitoa ili kuweka mambo sawa kumnusuru Mwigulu na serikali.
 
Ametuma ujumbe kwa niaba ya ubalozi na serikali ya Marekani. Kibaraka huyo.
 
Japo Sugu sio bachelor holder ila ana upeo mkubwa sana hata kujenga hoja kulinganisha na 'wasomi wengi tu'
Hapa ndipo Watanzania mnashindwa kuelewa Akili na elimu ni vitu viwili tofauti japo vinalandana kwa mbali mno, Hapa namaanisha Unaweza ukawa na elimu kubwa tu tena ya kiwango cha elimu ya Lipumba lakini ukosa akili maana yake ni kwamba si kila mtu mwenye elimu anaweza kuwa na akili Akili Mtu huzaliwa nayo lakini Elimu huuishwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Zaidi ebhu Jifikilie ni nani alianzisha elimu na akapanga mtoto anatakiwa asome miaka kadhaa, Jibu ni kwamba Watu wenye akilwalikaa kwenye meza mzunguko wakatoka na kitu inayoitwa Elimu na hawa watu hawakusoma hata kidogo mbali walikuwa na akili tu, Hivyo huyo Sugu anaweza akawa na akili kumzidi hata Palamagamba mbali tu pamoja na makaratasi yake hayo yote, sababu hayo makaratasi ukiyachoma kinachobakia kichwani mwako ndio elimu au akili
 
Hicho ndicho balozi wa marekani alienda kumpanga...
 
hivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Umuhimu wa kile kilichoelezwa na siyo elimu ya mtu
JENGO%20LA%20BUNGE%20NA%20WATU.JPG
 
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"

Na ameambatanisha picha ya Gazeti la Jamhuri

View attachment 2377124


View attachment 2377108
Anachokisema Prof. KABUDI ni kwamba HAKUZINGATIA kiapo cha "UADILIFU" na MISINGI yake chini ya Ibara 132 ya Katiba ya nchi. Amekiri KUVUNJA Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya 1995! Huku akifahamu, kwa mujibu wa Sheria ya "MAFAO YA VIONGOZI", anaweza POTEZA mafao yake yote!
 
Mbona mpka leo bado mnadanganywa ila mmekaa kimya?
 
Prof Kabudi..... cjawai kumkubali tangu nmemfahamu
Ana unafki mwing sana na uropokaj usiokuwa wa msingi
Ni waziri wa ovyo sana kuliko mawazir wote niliowai kuwajua ..
 
Prof Kabudi..... cjawai kumkubali tangu nmemfahamu
Ana unafki mwing sana na uropokaj usiokuwa wa msingi
Ni waziri wa ovyo sana kuliko mawazir wote niliowai kuwajua ..
Yaani aisee , bahati mbaya 'mambo ni mengi,ila muda ni mchache'...aliniacha hoi wakati wa kipindi cha awamu ya 5, biashara ya korosho na akaja hadharani na kusaini kampuni moja hewa' kutoka Kenya, na kutuaminisha kwamba itanunua korosho zetu zote za wakulima! Kilichofuata kila mtu anajua...... kaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom