Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

Japo Sugu sio bachelor holder ila ana upeo mkubwa sana hata kujenga hoja kulinganisha na 'wasomi wengi tu'
Huyu si ndiyo ameweza kufanya investment za kisomi kabisa kwa kujenga Hotel kubwa za kitalii? Hivi mtu anatakiwa awe na elimu gani nyingine zaidi kubwa kuzidi hii ya kuondoa umaskini kwa kutengeneza ajira?
 
Aliishia la tatu C" Lakini hakumaliza mhula maana kuna mwalimu wakike alimshika makalio mwalimu mkuu akamfukuza mwezi wa nne kama sikosei
Daaa!!! wee !!! jamaa umenichekesha sana kwakweli duuu!!! haya majibu umetoa wapi kwani!!!
 
😷
 

Attachments

  • IMG_20221005_164751.jpg
    IMG_20221005_164751.jpg
    30.5 KB · Views: 2
Acha hasira [emoji23]
Siyo hasira banaaa!! hujui kuwa hujui tu! yeye ndo kasema ..... umejuaje kama alizaa na Baba yake wa kufikia! yule dereva wa Malori ya Zambia!..si alikuwa anapita pita humo ChalinzeMzee! anakaa siku mbili tatu,

maajabu lkn kwenye lori hayumo!!.... au macho yangu......mmm ngoja kwanza ivi.......!
 
Nadhani Mh. Sugu amepungukiwa hekima. Hakupaswa kutoa kauli chochezi namna hii ktk hiki kipindi. Sijui tu kwa nini watanzania wengi ni wagumu kuelewa. Mungu ambariki sana Prof. Kabudi.
Mm namunga mkono professor uwezi kuifananishaa akili ya sugu na ya professor ,prof Yuko sahih ingawa jiwe alimteka akili zake Ila walikuwa sahihi sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Japo Sugu sio bachelor holder ila ana upeo mkubwa sana hata kujenga hoja kulinganisha na 'wasomi wengi tu'
Sas amsshindwa nn sas HV kutafuta bachelor wkt Muda na pesa anazo Tena akae darsan kbsa atakuwa nondo Zaid hatuwez kuwapa chadema nnchi alfu mtu kama sugu anapewa uwazir hapn lema na sugu waende shule ili wajue vitus zais

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom