Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

Ndio, alisema "majalalani kuna tabu sana".
Yaani humu JF kuna watu wana majibu ya ajabu sana!! .....sijui nadhani wengi ni watoto wadogo! wa sec. hivi! hapo nisaw......... mna bahati umri umefichwa! km wewe utakuwa ni baba una watoto! ntacheka sana mpaka ninye!

juhudi zinafanywa PC kuwatambua waandishi! Paschael tu ndo kajiweka wazi kwa avatar moja lkn anazo nyingine tatu nafanya utoto huko!! hizi ameficha identity yake!

lkn hii ya ukweli anajibu kiukweli kweli!
 
Hapa ndipo Watanzania mnashindwa kuelewa Akili na elimu ni vitu viwili tofauti japo vinalandana kwa mbali mno, Hapa namaanisha Unaweza ukawa na elimu kubwa tu tena ya kiwango cha elimu ya Lipumba lakini ukosa akili maana yake ni kwamba si kila mtu mwenye elimu anaweza kuwa na akili Akili Mtu huzaliwa nayo lakini Elimu huuishwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Zaidi ebhu Jifikilie ni nani alianzisha elimu na akapanga mtoto anatakiwa asome miaka kadhaa, Jibu ni kwamba Watu wenye akilwalikaa kwenye meza mzunguko wakatoka na kitu inayoitwa Elimu na hawa watu hawakusoma hata kidogo mbali walikuwa na akili tu, Hivyo huyo Sugu anaweza akawa na akili kumzidi hata Palamagamba mbali tu pamoja na makaratasi yake hayo yote, sababu hayo makaratasi ukiyachoma kinachobakia kichwani mwako ndio elimu au akili
Maneno umeandika mkuu.
1. Sikulinganisha hao wawili kwa maana ya Kabudi na Sugu.
Sas amsshindwa nn sas HV kutafuta bachelor wkt Muda na pesa anazo Tena akae darsan kbsa atakuwa nondo Zaid hatuwez kuwapa chadema nnchi alfu mtu kama sugu anapewa uwazir hapn lema na sugu waende shule ili wajue vitus zais

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani hao wenye makaratasi na Sugu wanatofauti gani katika kujenga hoja?
 
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"

Na ameambatanisha picha ya Gazeti la Jamhuri

Tuanze na wao chadema waliokua wanabeza kurekebisha mikataba ya unyonyaji na Lisu wao!!…
Hizo bil700 na Twiga company zingetoka wap??? Kwa wanaofatilia mambo ataonekana poyoyo
 
Back
Top Bottom