Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kwa mazingila ya wakati ule, tutakuwa tunamuonea bure Kabudi. Hali ilikuwa tete. Hata wale waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI, haikuwa kutoka moyoni. Mkamia naye, alishatoa ushuhuda wa yule Bwana, alivyokuwa hatari!
Peleka huko Umbumbu wako, Kubarikiwa kwa lipi la maana alilofanya?Nadhani Mh. Sugu amepungukiwa hekima. Hakupaswa kutoa kauli chochezi namna hii ktk hiki kipindi. Sijui tu kwa nini watanzania wengi ni wagumu kuelewa. Mungu ambariki sana Prof. Kabudi.
Haiko hivyo. Ile ilikuwa mbinu ya mazungumzo. Ni kawaida mno. Sema tu Kabudi kajitoa ili kuweka mambo sawa kumnusuru Mwigulu na serikali.Kwa mazingila ya wakati ule, tutakuwa tunamuonea bure Kabudi. Hali ilikuwa tete. Hata wale waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI, haikuwa kutoka moyoni. Mkamia naye, alishatoa ushuhuda wa yule Bwana, alivyokuwa hatari!
Hapa ndipo Watanzania mnashindwa kuelewa Akili na elimu ni vitu viwili tofauti japo vinalandana kwa mbali mno, Hapa namaanisha Unaweza ukawa na elimu kubwa tu tena ya kiwango cha elimu ya Lipumba lakini ukosa akili maana yake ni kwamba si kila mtu mwenye elimu anaweza kuwa na akili Akili Mtu huzaliwa nayo lakini Elimu huuishwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Zaidi ebhu Jifikilie ni nani alianzisha elimu na akapanga mtoto anatakiwa asome miaka kadhaa, Jibu ni kwamba Watu wenye akilwalikaa kwenye meza mzunguko wakatoka na kitu inayoitwa Elimu na hawa watu hawakusoma hata kidogo mbali walikuwa na akili tu, Hivyo huyo Sugu anaweza akawa na akili kumzidi hata Palamagamba mbali tu pamoja na makaratasi yake hayo yote, sababu hayo makaratasi ukiyachoma kinachobakia kichwani mwako ndio elimu au akiliJapo Sugu sio bachelor holder ila ana upeo mkubwa sana hata kujenga hoja kulinganisha na 'wasomi wengi tu'
Usijali jali madini anayotema! Kumuangalia professa anayetamba kuwa na GPA ya 6 degree ya kwanza! Naona kilaza mdebwedo wanahangaika kulidogosha taifa!hivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Kama alivyotoswa Ben SaananeProfesa Kabudi anapaswa kufungwa jiwe na kutoswa baharini.
Sasa Lisu walimpiga risasi za nini?
Baba yako ameishia la ngapi? Hilo Hilo la baan yako ndiye naye kaishiahivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Mume wa mama yakowewe ni mke wa sugu?
Umuhimu wa kile kilichoelezwa na siyo elimu ya mtuhivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Anachokisema Prof. KABUDI ni kwamba HAKUZINGATIA kiapo cha "UADILIFU" na MISINGI yake chini ya Ibara 132 ya Katiba ya nchi. Amekiri KUVUNJA Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya 1995! Huku akifahamu, kwa mujibu wa Sheria ya "MAFAO YA VIONGOZI", anaweza POTEZA mafao yake yote!Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"
Na ameambatanisha picha ya Gazeti la Jamhuri
View attachment 2377124
View attachment 2377108
Acha hasira [emoji23]Kamuulize baba yako
We uliyishia form four una nini cha zaidihivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Yaani aisee , bahati mbaya 'mambo ni mengi,ila muda ni mchache'...aliniacha hoi wakati wa kipindi cha awamu ya 5, biashara ya korosho na akaja hadharani na kusaini kampuni moja hewa' kutoka Kenya, na kutuaminisha kwamba itanunua korosho zetu zote za wakulima! Kilichofuata kila mtu anajua...... kaazi kwelikweli.Prof Kabudi..... cjawai kumkubali tangu nmemfahamu
Ana unafki mwing sana na uropokaj usiokuwa wa msingi
Ni waziri wa ovyo sana kuliko mawazir wote niliowai kuwajua ..