Kuna watu bado walibaki na misimamo yao na hawakuunga juhudi.Kwa mazingila ya wakati ule, tutakuwa tunamuonea bure Kabudi. Hali ilikuwa tete. Hata wale waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI, haikuwa kutoka moyoni. Mkamia naye, alishatoa ushuhuda wa yule Bwana, alivyokuwa hatari!
Inahusiana na kushtakiwa kwa Kabudi?hivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Unachekesha sana.Hivi ulitegemea Sugu asemeje?Unajua maumivu waliyoyapata wakati wa hilo sakata?Unajua?Tulia.Nadhani Mh. Sugu amepungukiwa hekima. Hakupaswa kutoa kauli chochezi namna hii ktk hiki kipindi. Sijui tu kwa nini watanzania wengi ni wagumu kuelewa. Mungu ambariki sana Prof. Kabudi.
Hebu pambana na hoja ya Kabudi.Acha kumshambulia pasipo maana yoyote.Aliyoyasema Kabudi unayachukulije?jibu hoja acha kutukana watu
inzi wa kijani wa lumumba wewe
Huwa anaandika vijisentensi vya kihanithi sana.Leo Kabudi kamuumbua.kinyume chake ninini? sitashangaa ukiniambia una bachelor au masters uliyoidesa hapo mwalimu nyerere
maajabu hayaishi Tanzania.....
Dhambi ina tabia ya kuitesa nafsi.Muache Kabudi autue mzigo.Anajua kwa maneno yake na ripoti ya makinikia ni kwa namna gani kuna watu waliumia.Ni namna ya kutubu na kujutia ubaya)dhambi.Bora amesema mwenyewe akiwa hai.Wazee wa kudandia matukio wamesnza sasa!
Ondoa hiyo nembo ya CDM hapo wewe kenge. Tunakujua!!Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"
Na ameambatanisha picha ya Gazeti la Jamhuri
View attachment 2377124
View attachment 2377108
Leo tuache ile tabia yake inayokirihisha.Tujadili aliyoyasema Sugu.Yana ukweli?Ondoa hiyo nembo ya CDM hapo wewe kenge. Tunakujua!!
Kama hana elimu ya darasani basi ana akili....na ndicho cha muhimu!hivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Ujinga ni pamoja na kutotambua hata kinachojadiliwa. Hoja ni uwongo wa Kabudi, elimu ya Sugu unaweza kuipata hata kwenye website ya Bunge.hivi sugu aliishia darasa la ngapi?
Tukiendelea kutoa visingizio vya kutowajibisha watu eti kwa vile walilazimika, Taifa halitakuja kubadilika. Mara zote tutakuwa na watendaji wanafiki, waongo, majuha na machawa wa watawala.Kwa mazingila ya wakati ule, tutakuwa tunamuonea bure Kabudi. Hali ilikuwa tete. Hata wale waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI, haikuwa kutoka moyoni. Mkamia naye, alishatoa ushuhuda wa yule Bwana, alivyokuwa hatari!
Kwani kunasehemu kabudi kasema ni uwongo?Ujinga ni pamoja na kutotambua hata kinachojadiliwa. Hoja ni uwongo wa Kabudi, elimu ya Sugu unaweza kuipata hata kwenye website ya Bunge.
KIkubwa elewa kuwa Sugu yupo vzr sana kichwani tena sana.hivi sugu aliishia darasa la ngapi?
mjinga hawezi kutambua msingi wa swali langu.Ujinga ni pamoja na kutotambua hata kinachojadiliwa. Hoja ni uwongo wa Kabudi, elimu ya Sugu unaweza kuipata hata kwenye website ya Bunge.
ina uhusiano na alichokiandika.Inahusiana na kushtakiwa kwa Kabudi?
nilielewa alichozungumza kabudi.We uliyishia form four una nini cha zaidi