Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mbona kama unalia?Sikuwahi kujua kama CHADEMA nacho ni Chama Cha Kiboya hivi, yaan honestly Unawekewa Sugu na Msigwa Unachagua sugu? Naiona ACT iki-shine ukanda huo! Haki hao Wajumbe Ukanda huo ni Vilaza sana.
CHADEMA wajitathmini, kuna namna ya kugawanyika, inamaana kile Sugu alichokuwa akiongea akionyesha maneno ya dharau, kashfa na uadui wa wazi wazi ni maneno ya ndani ya chama. Pia kuhusu kusema chama hakimuaminini maneno ya ndani ya chama japo yalitoka mdomon mwa Sugu.
Kwahiyo angeshinda Msigwa ndio demokrasia?Yaani hizo mbili mamluki kaka, yaani hao wajumbe wawili wamelamba mpunga mrefu, yaani jamaa wamekula life kupitia kwa sugu aka moto chinj
Karibu kwa huduma bora na za uhakika hadi mke au mumeSawa kaka dalali
CCM huwa wanapigana n kuuana cc Ndugai na yule jamaa aliyepigwa gongo kicwan akazima wiki nzimaNikiwaangalia hawa jamaa kwamba wanataka waongoze nchi nasema hawa hawa ambao hata uchaguzi wanatukanana kabla na baada ya uchaguzi yaani wanaojiona ni bora kuliko wenzao kisa wako kundi flani ni wengi
Ulitaka uongozi wa Chama upindishe matokeo ya uchaguzi na uumpe ushindi Msigwa? Au unaamini wajumbe walimchagua Msigwa lakini uongozi wakampa ushindi Sugu kwa sababu walimtaka? Kipi ni kipi?Sikuwahi kujua kama CHADEMA nacho ni Chama Cha Kiboya hivi, yaan honestly Unawekewa Sugu na Msigwa Unachagua sugu? Naiona ACT iki-shine ukanda huo! Haki hao Wajumbe Ukanda huo ni Vilaza sana.
CHADEMA wajitathmini, kuna namna ya kugawanyika, inamaana kile Sugu alichokuwa akiongea akionyesha maneno ya dharau, kashfa na uadui wa wazi wazi ni maneno ya ndani ya chama. Pia kuhusu kusema chama hakimuaminini maneno ya ndani ya chama japo yalitoka mdomon mwa Sugu.
Mtarimbo wangu huupati mwenzako naogopa dhambiMkuu, nimemiss mtaro wako
Geuza tu maneno ila ujumbe umefika penyewe na kwa wenyewe 🤔Hiyo mada ya chaguzi za chama chako cha CCM ni ya siku nyingine
Lazima nilie kwa ujinga huuMbona kama unalia?
Ujinga vipi?Lazima nilie kwa ujinga huu
Chawa alikuwa kazini 😀😀. Msamehe tuMtoa mada umeandika kishabiki sana. Ukisoma taarifa ya ndani, mambo ni tofauti kabisa. Kura 54 kwa 52 ndiyo kumgaragaza!!
Mtasubiri sanaaa nyie jamaa kwanza sasa mna kundi la Mbowe ambae ni Mfalme hatoki yeye kazi yake ni kuwamaliza wale wote wanaokua kisiasa.CCM huwa wanapigana n kuuana cc Ndugai na yule jamaa aliyepigwa gongo kicwan akazima wiki nzima
cc Charles Tizeba na Chegeni waliozpga live live kwenye kura za ndani ya chama.
Au tukuongezee mifano ?
Pwayu pwayu, tena huyo ndiyo hafai kabisa bora mtoa rushwa sugu aka moto chini.Kwahiyo angeshinda Msigwa ndio demokrasia?
Akili huna, Mbowe ndio ameibuwa vijana wengi unaoona wanashine.Mtasubiri sanaaa nyie jamaa kwanza sasa mna kundi la Mbowe ambae ni Mfalme hatoki yeye kazi yake ni kuwamaliza wale wote wanaokua kisiasa.
NimechekaCCM huwa wanapigana n kuuana cc Ndugai na yule jamaa aliyepigwa gongo kicwan akazima wiki nzima
cc Charles Tizeba na Chegeni waliozpga live live kwenye kura za ndani ya chama.
Au tukuongezee mifano ?
Kumchagua mtu wa hip hop badala ya mtu wa strategyUjinga vipi?
Sasa ulitaka kusema nini?Matokeo ya Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa.Joseph Osmond Mbilinyi (SUGU) amepata kura 54 sawa asilimia 50.94Peter Simon Msigwa amepata kura 52 sawa na asimilia 49.05