Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

Hizo ni nyimbo tunaitaga zilipendwa, miaka yote mnaimbaga nyimbo hizo hizo sasa miaka 10 bado tunamchagua mh Sugu
Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga
 
Kuna maeneo hapa nchini, hata hivyo vyombo vya dola vinashindwa vianzie wapi kufanya uharifu wao.

Mbeya ni moja ya eneo hilo. Heshima nyingi ziwaendee wana Mbeya.
Ndiyo sisi mkuu, tulimuimbisha Jiwe nyimbo za peoplessssss powerrrrrrrr pale mwanjelwa
 
Tumpatie tema gwala
Lakini msema kweli mpenzi wa Mungu, Sugu amebadilika sana. Sasa hivi akiongea unaona kabisa kiongozi anaongea. Na ukimsikiliza kwa makini unaona haiba na sauti yake inavutia/inashawishi kumsikiliza zaidi.
 
Sugu arudi akagombee makete kwa wakinga wenzie huko ndiko wanamjus

Safari him mbeya mjini hashidi wafanyabiashara wakinga hawako tayari kumchangia na wengi biashara zao ziko hoi ikiwemo biashara ya hoteli ya sugu mwenyewe iko hoi inapumlia mashine safari hii pesa za mafisadi wakinga waliokuwa wakihonga watu wampigie sigh hazitakuwepo Aanze tu kujiandaa kisaikolojia na mideni aliyokopa kujenga hotel I ajiandae kukutana na madalali wa mahakama wa kuinadi kwa bei chee ya kutupwa
 
Piga kelele wewe mcheza ngoma wa lumumba, sisi wana mbeya ndiyo tunao muhitaji mh Sugu aendelee kutuwakilisha bungeni.

Huyo Betina wenu mtajua sehemu ya kumpeleka
Sugu arudi akagombee makete kwa wakinga wenzie huko ndiko wanamjus

Safari him mbeya mjini hashidi wafanyabiashara wakinga hawako tayari kumchangia na wengi biashara zao ziko hoi ikiwemo biashara ya hoteli ya sugu mwenyewe iko hoi inapumlia mashine safari hii pesa za mafisadi wakinga waliokuwa wakihonga watu wampigie sigh hazitakuwepo Aanze tu kujiandaa kisaikolojia na mideni aliyokopa kujenga hotel I ajiandae kukutana na madalali wa mahakama wa kuinadi kwa bei chee ya kutupwa
 
Mwanamuziki wa "miondoko ya kufokafoka" mi namkubali sana huyu jamaa. Wanyakyusa wanampa mitano mingine.
 
Mwaka huu sugu hapiti mbeya. HASHINDI MARK MY WORDS.
NI HIVI MTALETA MGAMBO WENU, MTALETA POLISI WENU, DED ATATANGAZA MATOKEO AKIWA AMEZUNGUKWA NA WANA WA MBEYA AMBAO TAYARI WATAKUWA NA MATOKEO YA VITUO VYOTE, TUNAJUA HIZO FIGISU MNAWEZA SANA KWENYE CHAGUZI ZA MARUDIO LAKINI HIZI CHAGUZI AMBAZO KUANZIA RAIS MPAKA DIWANI ANAKUWA ANAPAMBANA NA HALI YAKE, HAPA MBEYA TUTAZAA NA MTU, NA USHINDI NI ASUBUHI TU KABLA YA KUNYWA SUPU! TUTATUMIA MITA MIAMBILI KULINDA KURA LAKINI TUTAZAA NA MTU ATAKAYEPINDUA MAAMUZI YA WANA MBEYA
 
Hapa umeandika kama zezeta. Kwani Magufuli alienda gombea Mwanza kwa wasukuma wenzie? Nyie ndo mnafanya CCM wote tuonekane Vilaza na Mbumbumbu. Andika hoja za akili.

Sugu arudi akagombee makete kwa wakinga wenzie huko ndiko wanamjus

Safari him mbeya mjini hashidi wafanyabiashara wakinga hawako tayari kumchangia na wengi biashara zao ziko hoi ikiwemo biashara ya hoteli ya sugu mwenyewe iko hoi inapumlia mashine safari hii pesa za mafisadi wakinga waliokuwa wakihonga watu wampigie sigh hazitakuwepo Aanze tu kujiandaa kisaikolojia na mideni aliyokopa kujenga hotel I ajiandae kukutana na madalali wa mahakama wa kuinadi kwa bei chee ya kutupwa
 
14 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

LAZARO NYALANDU 2020 : Adhaminiwa Na Mamia Ya Watu Mbeya.

Kusaka wadhamini CHADEMA yaingia mjini Mbeya na basi maalum kutimiza hitaji hilo la kiChama na sheria ya wagombea kusaka wadhamini

Source : EM TV Tanzania
 
Tulia ameamua kwa utashi wake binafsi na akiwa na akili timamu kabisa kwenda kujiharibia CV Mbeya mjini, ikiwa hakuna mapicha picha yoyote basi hana hata sifa za kuwa Diwani wa kata ya Sisimba! Time will tell!
 
20 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

Dkt. Tulia Aongoza kwa 96% Kura za Maoni CCM Mbeya Mjini
Kivumbi kuchanika nguo ndani ya ukumbe, wajumbe 885 wa CCM mkutano mkuu wa wilaya wapagawa na matumaini...

Dr. Tulia akiwa amekumbatia karatasi za kura 843 huku akitoa machozi, zilizomchagua ktk kura za maoni akimuwaza mgombea wa CHADEMA oktoba 2020

Source: MbeyaYetuOnlineTV
 
Hatimaye lile pambano la kisiasa la uzito wa juu ngazi ya ubunge Mbeya mjini sasa limethibitishwa.

20 Jul 2020
Mbeya, Tanzania

DK TULIA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI, UCHAGUZI CCM JIMBO LA MBEYA

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson ameibuka kidedea kwa kishindo kwenye kura za maoni baada ya kupata kura 843 sawa na asilimia 96%.

Source : Global TV online
 
14 Jul 2020
Mbeya, Tanzania

JOSEPH MBILINYI : "KURA ZA USHINDI MBEYA MJINI TUNAZO, BAJAJI 10 ZISITUYUMBISHE"

Ni maneno ya Joseph Mbilinyi (SUGU) anayewania nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema alipokuwa akihutubia baada ya kushinda kura za maoni.

Source : Big Star TV
 
Back
Top Bottom