Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Afe tu mtuondelee siasa uchwala tangu muanze kupigania madaraka na maisha bora kwa watanzania hatuoni lolote,kelele tu na kujenga mahotel
 
Nyie wabongo ni wanafiki wa kutupwa mnajidai mna huruma za kinafk
Huezi challenge usalama wa nchi afu watu wakuangalie tuh
Wabongo mna kawaida ya kutetea kila mhanga wa serikali cjui kwann mnachuki na serikali yenu
 
Hapo sasa ndio tunajenga upinzani wa kweli hutosikia kauli zile "NARUDI NYUMBANI"
 
duh na ubonge wote ule kapigwa hadi mahututi? kwa maana kumpeleka mtu over weight kama yule chini unahitaji equal and opposite amount of force au zaidi, kweli duniani kuna mambo …
Hata uwe mkubwa kama nyumba, ukipigwa na watu zaid ya watano at once lazima ukae
 
Haya ndiyo maandalizi ya CCM kwa chaguzi zijazo, ngumi, mateke,mabomu ya machozi na risasi za moto.
 
Haya ndiyo maandalizi ya CCM kwa chaguzi zijazo, ngumi, mateke,mabomu ya machozi na risasi za moto.
Mlitaka kufanya maandamano ya gen z mbeya,tanpol siyo
Haya ndiyo maandalizi ya CCM kwa chaguzi zijazo, ngumi, mateke,mabomu ya machozi na risasi za moto.
Polisi tz siyo kenyan police, mlitaka kufanya maandamano ya gen z mbeya,mmeshukiwa kama mwewe,wanna msemo wao 'dola itakuangukia'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…