Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Noma sana, kuna Mwehu Jana alikua anaulizia mishahara ya hao wajomba nikamwambia wakipata Dili chafu km hizo ndio zinawalipa zaidi hawachezi bure Dili chafu km hizo hapo tayari kamanda Awadhi na hao wavaa mask tayari account zao zinacheka balaa
Hao walio vaa mask itakuwa wamevuta Millioni ngapi?
 
Ndo tumefikia huku?Kiongozi kupigwa adi kuumizwa kisa tu maagizo?Hata kama ni upinzan wana haki zao ya kuandamana bila kudhurika bwana.
 
JAMANI NISHASEMA KAMA KUNA KIKUNDI CHA KIHARAKATI CHOCHOTE KINACHOLENGA KUFANYA MAPINDUZI YA KISIASA MIMI NIPO TAYARI TUINGIE MSITUNI TUWEKE KAMBI TUJIFUE, NIPO TAYARI JAMANI
 
Nimerudia kusoma mara 4,nilipoangalia ID, nikajua hayo uliyoyaandika ni sababu fulani.

Pole sana na nakuombea kwa Yehova akufunulie kweli yake utoke umbumbuni.
 
Nimerudia kusoma mara 4,nilipoangalia ID, nikajua hayo uliyoyaandika ni sababu fulani.

Pole sana na nakuombea kwa Yehova akufunulie kweli yake utoke umbumbuni.
Bosi ukweli tunaelewa kabisa wapinzani wanaonewa ila ilikuwaje wakashangilia kifo cha Dkt Magufuli???? Inakuwaje wanaanzisha vikundi vya kumtukana Dkt Samia. Wakome kabisa. Tunahitaji taifa linalofuata misingi ya kuheshimiana na kuvumiliana.
 
Hivi huyu samia, abdul na genge lao wanataka kuleta maafa gani kwa nchi yetu
 
Wote walioshangilia kifo cha Magufuli laana iwatafune
Naona wakati huu inawezekana ikawa hatari zaidi maana unaumizwa huku wanasmile πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Unasikia kauli, Katibu mkuu wa sisiemu ametoa tamko wapinzani waachiwe.......

NB:Tuliambiwa huyu Sugu na swahiba mkubwa wa mtoto wa Mama kizimkazi,imekuaje tena tumefika huku?
 
Wewe utakuwa ni shetani la kizanzibari, pagani lisilo na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…