Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Kuna kitu hao Polisi wameshakitengeneza na kimeshaanza ku backfire ingawa bado hawajastuka, mnapaswa kushukuru katika hili, limetokea katika wakati muafaka.
 
Mwanamke malaya hawezi kuwa na akili.
 
Bora tungebaki na mkoloni kuliko huu uhuru fake
 
Polisi angalieni Sugu asife, asije kuwa the trigger of unrest in this country kama Mohammed Bouaziz wa Tunisia.
 
Sugu nae aache mambo kama ya Suarez kwenye mpira, maana hata akiguswa kidogo tu, anajifanya kavunjwa mguu wote..!! Aache kutafuta public sympathy
Hapana, shida iliyopo ni kwamba polisi na raia tunajuwq kuwa upolisi ni matumizi ya nguvu, hata pasipo na ulazima. Mwangosi aliuliwa na camera yake!.
 
Boni umeamua kujilipua sana

Tatizo you have picked sides kwenye jeshi la polisi

Hii haikubebi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…