Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

Nenda kapitie Kutoka kwenye hizo source mbalimbali Utapata majibu ya nini kifanyike badala ya kumuwajibisha A kwa kosa la B
Ndio maana kila siku uwa nasema nchi inahitaji ‘social reformer’ wakubadili jinsi watanzania wanavyofikiri.

Unapigia kelele mambo ya finance inawezekana hata abc huna. Nikwambia leta audited financial statement hata za miaka ya nyuma ya pension yeyote iliyopo leo au hata zilizofutwa uwezi pata hizo info.

Hizo statement zenyewe ata ukipata kuangalia important ratio zenye kuonyesha financial stability za fund sidhani kama unajua uanzuie. Halafu unataka kuongea mambo yanayohitaji raw data ufanye ‘financial modelling’ kupims uwezo wao kama węża lipa zaidi.

Watumishi mnakazana serikali inaonea watu mkiulizwa how so? Mnakimbilia na hadithi za historia.

Hujui hata capabilities zao halafu mnabisha tu inawezekana serikali inawaonea. Using what logic, ni mambo tu mnayotoa vichwani.

Fikra hizi ni karibu sehemu zote ukisikiliza hoja za watanzania 90% ni illogical ni mambo tu ambayo watu wanajitolea vichwani mwao mpaka mawaziri.

Someone has to change how these people think, uwezi kuendelea kwa speed kama hivi ndio asilimia kubwa ya wananchi wanavyofikiria.

👋
 
Tatizo wanasiasa wanawza sababisha nchi kupata shida kwa kupenda cheap politics kuliko true hard facts na kuzingatia utaalamu

Hungary serikali iliangushwa baada ya serikali kukosa pesa za pension watu wanastaafu pesa hazipo na waliostaafu hawalipwi

Serikali iwe imara sana kwenye hilo kuna nguvu kubwa ya kutaka kumsambaratisha Mama Samia ayumbe na mifuko iyumbe .Mbio za 2025 zimeanza magenge ya wahuni yamejipanga kutafuta mwanya raisi aonekane mbaya kwa kumbeagia zigo la kikokotoo wakati bunge hilohilo ndilo lilipitisha

Wabunge wanaopinga ni sehemu ya hilo kundi lililojipanga kuhakikisha Mama Samia anachafuka aonekane kuwa yeye ndie 9isa chs kikokotoo kibaya na kuwa wao wameshauri ila yeye hataki kubadilisha Na hao wahuni hilo genge liko bungeni na CCM .Unasikia na huko kwenye chama wameanza wanasema ohh tumesikia tutampelekea Mama ili aamue. Ni.msikivu Yote hiyo kukulenga kukutwisha tu zigo lielekee kwako kana kwamba wewe tu ndio mwenye kauli na sio wataalamu Badala ya kusimama waxi na kutamka kuwa kikokotoo kilipitia hatua mbalimba za kitaalamu sio za kisiasa pekee kufikia hapo

Ushauri kwa Mama Samia tulia .Hili kundi linalopiga yowe huko ndani ya bunge na CCM ni la wahuni wachache genge linalotaka usirudi 2025.Ni wachache .TAKE NOTE.

La pili Mama Samia tulia kundi la watu wanaostaafu sasa hivi ni wachache mno ambao hawana uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa kura 2025.Kelele ni nyingi kuliko idadi ya wapiga kelele.Waweza omba idadi ya watu wanaostaafu kuanzia sasa hadi 2025 ni wachache mno.Usiumie kichwa sana as if ni big issue

Tatu Utulie kwa sababu pia katika hao wanaostaafu asilimia kubwa hicho kikokotoo wanakifurahia sana.Wanafurahi kwa sababu moja wao kabla ya hiki kikokotoo walikuwa wanalipwa asilimia 25 lakini baada ya hiki kikokotoo kipya kuja wanalipwa asilimia 33.Hivyo hako kagenge kanakolilia kulipwa asilimia 50 ni ka watu wachache sana ambao hata kikura hawana impact yeyote kwenye uchaguzi .Hata wasipokupigia kura sawa tu

Nchi kutulia ni pamoja na mifuko ya Pension kuwa na utulivu kwa kuwa na pesa endelevu za kulipa wanaostaafu na watakaostaafu mbeleni.Kikokotoo kipya kinaweka huo utulivu.Kukiyumbisha kutayumbisha mifuko
Raisi usikubali kundi la watu wachache wayumbishe mifuko .Maana ya uongozi kuna wakati lazima kusimama kwenye mstari bila kuyumba ili mifuko isiyumbe.Ukilala unalala for ukijua pesa za pension za malipo kwa wastaafu wa sasa zipo na za wa baadaye zipo Be very stable kwenye hili Simba jike kama unavyojiita
 
Kifupi wafanyakazi wa serikali mumewaasha wananchi kupinga hiki kikokotoo kipya cha nyie hiki cha kulipwa ikiwemo asilimia 15 mnachangiwe na serikali you will be loosers timu za nawakili zimeshaanza kujipanga kuiburuza serikali mahakamani kwa niaba ya wananchi kupinga serikali kulipa wastaafu kwa kikokotoo kipya kama malipo yatahusisha na asilimia 15 ya serikali imechangia itakuwemo kwenye kikokotoo

Kuwa asiwepo wa kulipwa ikihusika hiyo asilimia hadi kesi ya msingi iamuliwe

Nyie wafanyakazi wa serikali ndio mliolianzisha mjiandae kulinywa kama lilivyo

Wajinga nyie serikali inawapendelea bado mnajitia ujuaji .Mtaliipwa asilimia 5 tu za mafao yenu ya mlichochangia kinachobaki subirini maamuzi ya mahakama

I repeat, you are very stupid, Mahakama sio wajinga kama wewe, hujui sheria za kazi za Tz wala duniani, ilikuaje hadi nchi zote duniani zinamchangia mwajiriwa ktk mafao yake, ni international law, sbb ww ni mpumbafu hujui mambo unafikiria kupinga hata sheria zilizoko wazi wazi sio za Tz ni za dunia nzima.

I repeat, pumbafu wewe
 
Tatizo wanasiasa wanawza sababisha nchi kupata shida kwa kupenda cheap politics kuliko true hard facts na kuzingatia utaalamu

Hungary serikali iliangushwa baada ya serikali kukosa pesa za pension watu wanastaafu pesa hazipo na waliostaafu hawalipwi

Serikali iwe imara sana kwenye hilo kuna nguvu kubwa ya kutaka kumsambaratisha Mama Samia ayumbe na mifuko iyumbe .Mbio za 2025 zimeanza magenge ya wahuni yamejipanga kutafuta mwanya raisi aonekane mbaya kwa kumbeagia zigo la kikokotoo wakati bunge hilohilo ndilo lilipitisha

Wabunge wanaopinga ni sehemu ya hilo kundi lililojipanga kuhakikisha Mama Samia anachafuka aonekane kuwa yeye ndie 9isa chs kikokotoo kibaya na kuwa wao wameshauri ila yeye hataki kubadilisha Na hao wahuni hilo genge liko bungeni na CCM .Unasikia na huko kwenye chama wameanza wanasema ohh tumesikia tutampelekea Mama ili aamue. Ni.msikivu Yote hiyo kukulenga kukutwisha tu zigo lielekee kwako kana kwamba wewe tu ndio mwenye kauli na sio wataalamu Badala ya kusimama waxi na kutamka kuwa kikokotoo kilipitia hatua mbalimba za kitaalamu sio za kisiasa pekee kufikia hapo

Ushauri kwa Mama Samia tulia .Hili kundi linalopiga yowe huko ndani ya bunge na CCM ni la wahuni wachache genge linalotaka usirudi 2025.Ni wachache .TAKE NOTE.

La pili Mama Samia tulia kundi la watu wanaostaafu sasa hivi ni wachache mno ambao hawana uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa kura 2025.Kelele ni nyingi kuliko idadi ya wapiga kelele.Waweza omba idadi ya watu wanaostaafu kuanzia sasa hadi 2025 ni wachache mno.Usiumie kichwa sana as if ni big issue

Tatu Utulie kwa sababu pia katika hao wanaostaafu asilimia kubwa hicho kikokotoo wanakifurahia sana.Wanafurahi kwa sababu moja wao kabla ya hiki kikokotoo walikuwa wanalipwa asilimia 25 lakini baada ya hiki kikokotoo kipya kuja wanalipwa asilimia 33.Hivyo hako kagenge kanakolilia kulipwa asilimia 50 ni ka watu wachache sana ambao hata kikura hawana impact yeyote kwenye uchaguzi .Hata wasipokupigia kura sawa tu

Nchi kutulia ni pamoja na mifuko ya Pension kuwa na utulivu kwa kuwa na pesa endelevu za kulipa wanaostaafu na watakaostaafu mbeleni.Kikokotoo kipya kinaweka huo utulivu.Kukiyumbisha kutayumbisha mifuko
Raisi usikubali kundi la watu wachache wayumbishe mifuko .Maana ya uongozi kuna wakati lazima kusimama kwenye mstari bila kuyumba ili mifuko isiyumbe.Ukilala unalala for ukijua pesa za pension za malipo kwa wastaafu wa sasa zipo na za wa baadaye zipo Be very stable kwenye hili Simba jike kama unavyojiita

Sio wanasiasa, ni sheria ya kimataifa, wewe hopeless huna maana

Sheria ndio inataka mwajiriwa alipwe mafao yake, sio wanasiasa na hizo 15% ziko kisheria, sio hisani ya wanasiasa.

Na sbb hujui kitu kabla ya sheria hii mpya, watumishi wa Umma thru PSPF yaani Central Government walikuwa wanapata kwa mkupuo 73% wakistaafu, wewe pumbafu hujui kitu..!!

Na sbb wewe unaangalia asilimia tu, kabla ya sheria hii mbovu mpya, kikokotoo kilibadiliwa denominator, from 540 to 580 in the formula ambayo ukipewe sasa 25% ya zamani ni kubwa kwenye mafao kuliko 33% ya sasa kwa formula ya denominator kubwaa walioeka, so wakacheza na formula sio asilimia tu toka 25% kwenda 33% ukidhania asilimia kupanda na mafao yalipanda, sbb wewe nyoko hujui kitu, hiyo 33% ya sasa sbb walicheza na formula ni ndogo kwa hela unazopata kuliko 25% kwa formula ya zamani, kumbuka kimahesabu ukibadili formula huwezi tena linganisha percentage za zamani na sasa, sbb formula ni tofauti, hivyo ukipewa 25% ya malipo kwa formula ya zamani ni kubwa kuliko 33% ya formula mpya, yaani wameongeza denominator kuwa 580 from 540 hii imeharibu kabisa mafao na kupata kiwango kidogo sana sanaa, sijui wewe nyoko kama unaelewa, hivi unanielewa wewe mjinga, don’t compare the current percentage of 33% with previous one of 25% sbb formula ni tofauti, huwezi linganisha hapo, formula mpya inaibiwa watumishi sbb wameweka denimonator kubwaa kupunguza mafao, so hakuna kulinganisha %, ni vitu viwili tofauti, hivi wewe blind minded unaelewa?

Na watumishi wa umma wa Serikali Kuu, walikuwa wanapata kwa mkupuo 73% ya mafao yao kwa formula ya zamani, sio hiki kikokotoo kimya chenye formula tofauti, hivyo sio kuangalia tu asilimia % eti 33% imepanda wakati formula wamebadili kushusha mafao ya watumishi, formula ya zamani ndio itakupa mafao nafuu kwa watumishi, wewe nyoko kazi yako kungalia asilimia tu, sbb ni punguani mkubwa, hujui % ni zao la formula, so ukicheza na formula kupunguza mafao ya watumishi, asilimia nao inabadilika, formula ndio tatizo, sio asilimia..!! Na huwezi linganisha ya zamani na sasa kwa % sbb ni formula tofauti, umeelewa you shithole.

Na acha kukariri eti mwajiri asichangie wastaafu 15% ya mshahara, hii ni internatinal law, sio wanasiasa wameweka, kuna sheria zinalinda haki za watumishi, sbb wewe hujui kitu, kichwa kibuyu, unafikiria ni wanasiasa ndio wameweka, eti ukapinge mahakamani, hivi unafikiria majaji huko courts ni wapuuzi kama wewe, tahira kabisa
 
Fikra hizi ni karibu sehemu zote ukisikiliza hoja za watanzania 90% ni illogical ni mambo tu ambayo watu wanajitolea vichwani mwao mpaka mawaziri.
nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.

Umeongea porojo tu kwa kigezo cha technical language uliotumia ili kuji defence ila huna la maana uliloongea hapo chief.

Hii mifuko ya jamii iko incapable to wisely invest the funds wanazokata watumishi kutengeneza faida ambazo mwisho wa siku ndio walipaswa kuwapa mafao yao kama ilivyokua zamani.

Mnatumia fedha za mifuko ya jamii kwa ajili ya ku fund operational costs za serikali na mambo mengine ambayo sio dhumuni la fedha hizo.

Na hata hizo zinazotumika katika investments mnazi channel kwenye white elephant project miradi kama ile ya Dege kigamboni ambayo mwisho wa siku haizalishi kitu zaidi ya hasara tupu.

Na mwisho wa siku ili ku cover huu upumbavu wenu wa kukosa weledi ,ndio mnakuja na mabadiliko ya sheria na kupunguza mafao ya mkupuo kwakua mnajua kabisa hiyo mifuko yenu inakwenda kufa.

Yote hii ni katika kukwepo uwajibikaji wa ujinga wenu. Mna lack checks and balance katika uendeshaji wa fedha za mafao za watumishi ndio maana kila siki mnakuja na mbinu za kuwabana na kuwadhurumu.
 
Tatizo wanasiasa wanawza sababisha nchi kupata shida kwa kupenda cheap politics kuliko true hard facts na kuzingatia utaalamu

Hungary serikali iliangushwa baada ya serikali kukosa pesa za pension watu wanastaafu pesa hazipo na waliostaafu hawalipwi

Serikali iwe imara sana kwenye hilo kuna nguvu kubwa ya kutaka kumsambaratisha Mama Samia ayumbe na mifuko iyumbe .Mbio za 2025 zimeanza magenge ya wahuni yamejipanga kutafuta mwanya raisi aonekane mbaya kwa kumbeagia zigo la kikokotoo wakati bunge hilohilo ndilo lilipitisha

Wabunge wanaopinga ni sehemu ya hilo kundi lililojipanga kuhakikisha Mama Samia anachafuka aonekane kuwa yeye ndie 9isa chs kikokotoo kibaya na kuwa wao wameshauri ila yeye hataki kubadilisha Na hao wahuni hilo genge liko bungeni na CCM .Unasikia na huko kwenye chama wameanza wanasema ohh tumesikia tutampelekea Mama ili aamue. Ni.msikivu Yote hiyo kukulenga kukutwisha tu zigo lielekee kwako kana kwamba wewe tu ndio mwenye kauli na sio wataalamu Badala ya kusimama waxi na kutamka kuwa kikokotoo kilipitia hatua mbalimba za kitaalamu sio za kisiasa pekee kufikia hapo

Ushauri kwa Mama Samia tulia .Hili kundi linalopiga yowe huko ndani ya bunge na CCM ni la wahuni wachache genge linalotaka usirudi 2025.Ni wachache .TAKE NOTE.

La pili Mama Samia tulia kundi la watu wanaostaafu sasa hivi ni wachache mno ambao hawana uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa kura 2025.Kelele ni nyingi kuliko idadi ya wapiga kelele.Waweza omba idadi ya watu wanaostaafu kuanzia sasa hadi 2025 ni wachache mno.Usiumie kichwa sana as if ni big issue

Tatu Utulie kwa sababu pia katika hao wanaostaafu asilimia kubwa hicho kikokotoo wanakifurahia sana.Wanafurahi kwa sababu moja wao kabla ya hiki kikokotoo walikuwa wanalipwa asilimia 25 lakini baada ya hiki kikokotoo kipya kuja wanalipwa asilimia 33.Hivyo hako kagenge kanakolilia kulipwa asilimia 50 ni ka watu wachache sana ambao hata kikura hawana impact yeyote kwenye uchaguzi .Hata wasipokupigia kura sawa tu

Nchi kutulia ni pamoja na mifuko ya Pension kuwa na utulivu kwa kuwa na pesa endelevu za kulipa wanaostaafu na watakaostaafu mbeleni.Kikokotoo kipya kinaweka huo utulivu.Kukiyumbisha kutayumbisha mifuko
Raisi usikubali kundi la watu wachache wayumbishe mifuko .Maana ya uongozi kuna wakati lazima kusimama kwenye mstari bila kuyumba ili mifuko isiyumbe.Ukilala unalala for ukijua pesa za pension za malipo kwa wastaafu wa sasa zipo na za wa baadaye zipo Be very stable kwenye hili Simba jike kama unavyojiita
Wewe ni mpumbavu sana kiongozi, fala kabisa wewe
 
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.

Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema Watanzania wanaliamini Bunge, na kuna vitu vimekuwa vinazungumzwa lakini havichukuliwi kwa uzito wake na kwamba Serikali na Wizara husika zikae chini kutafakari upya suala la kikokotoo kwani linawaumiza watanzania na linatengeneza taifa la wezi.

Amesema Wabunge na Serikali isiweke pamba masikioni kwani imekuwa ni ajenda inayojadiliwa kila siku, na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesisitiza suala hili lishughulikiwe.

"Nimebakiza miaka 3 na watoto wangu, natakiwa nistaafu nikajitegemee, sina nyumba nipo kwenye nyumba ya Serikali, halafu naenda kupata asilimia 30, lazima niondoke na mzigo liwalo na liwe. Kwahiyo ni vizuri tusijiwekee pamba masikioni, tuone namna ya kuwasikiliza, na kama kuna uwezekano wa kutatua hilo tatizo tulitatue" amesema Musukuma.

Kwa jinsi alivyokuwa akisakama wapinzani hata akichangia la maana napata mashaka kuona kama ako na dhamira njema au kuna hila nyuma yake?!
 
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.

Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema Watanzania wanaliamini Bunge, na kuna vitu vimekuwa vinazungumzwa lakini havichukuliwi kwa uzito wake na kwamba Serikali na Wizara husika zikae chini kutafakari upya suala la kikokotoo kwani linawaumiza watanzania na linatengeneza taifa la wezi.

Amesema Wabunge na Serikali isiweke pamba masikioni kwani imekuwa ni ajenda inayojadiliwa kila siku, na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesisitiza suala hili lishughulikiwe.

"Nimebakiza miaka 3 na watoto wangu, natakiwa nistaafu nikajitegemee, sina nyumba nipo kwenye nyumba ya Serikali, halafu naenda kupata asilimia 30, lazima niondoke na mzigo liwalo na liwe. Kwahiyo ni vizuri tusijiwekee pamba masikioni, tuone namna ya kuwasikiliza, na kama kuna uwezekano wa kutatua hilo tatizo tulitatue" amesema Musukuma.

Tusisahau kama wewe sio mbunge wala waziri wala Raisi Na umeajiriwa...Kikotoo kitakuhusu...Haijalishi wewe ni Kolo, Chawa au Fisiemu hili janga ni letu sote.
 
Kiongozi embu tuwe wa kweli

Mtu anaishi nyumba ya serikali rent mtaani nyumba anayoishi tena sio prime area labda laki 5-7 kwa mwezi. Ndani ya mwaka anaokoa million sita mpaka nane. Mafuta gari ya kazini kwa mwezi labda matumizi yake binafsi ni łąki mbili mpaka tatu, anaokoa millioni mbili mpaka tatu ukijumlisha ndani ya mwaka, mshahara million tatu plus kwa mwezi.

Kwa mwaka anaokoa kama 8-10 million kwenye mshahara wake. Halafu unakuta mtu private na mshahara wa millioni nne au tano kabla ya 40 years ana nyumba yake bila hizo ‘benefits-in-kind’ za watumishi na wenyewe wana ndugu hao hao wakuwasaidia na kusomesha.

Ifike wakati watu waambizane ukweli, uwezi kufanya kazi zaidi ya miaka 20 serikalini huku ukipokea benefits zote hizo usiwe na nyumba hata kama hukua mpiga deal.
Mtumishi WA Umma anapokea M4😡😡😡😭😭😭Umma gani ho tuhamie huko????
 
Na sbb hujui kitu kabla ya sheria hii mpya, watumishi wa Umma thru PSPF yaani Central Government walikuwa wanapata kwa mkupuo 73% wakistaafu, wewe pumbafu hujui kitu..!!
Na ndio maana PSPF mfuko ulishindwa kuendelea ukafa sasa unampa mtu mkupuo 73% unabaki na 27% hivi hiyo 27% utamudu vipi kumpa pension yake ya kueleweka ya kila mwezi maisha yake yote?
 
Musukuma pamoja na ujinga wake lakini kuna saa dish huwa linakaa sawa anaongea fact
Hajawahi kuwa mjinga,ni vile tu tumeamua asiye na vyeti vya darasani aitwe mjinga.

Kama ungenambia niingie bungeni kuchagua wabunge ambao michango ni relevant na maisha halisi ya wananchi,ningeanza na musukuma halafu kishimba.

Hawa wasomi wenu hakuna kitu wanafanya humo bungeni zaidi ya kugonga meza.
 
Wafanyakazi wengi wa serikali hawaelewi financial planning na ndiyo maana wanalaumu kikokotoo. Na huu mkanganyiko unatokana na kutokutolewa elimu ya fedha na uwekezaji awali kabisa kwenye maisha ya watumishi. Kinachotokea ni kuwa watumishi wengi wanadhani wakipata hiyo hela zote eti maisha yao yatakuwa bora hapana kabisa tena wengi wataishia kufa na kupotea kabisa. Mfano mtu anayepata mashahara wa makadirio ya mil 1.2, mkupuo tuseme ni mil 90, kikokotoo atapata mfano mil 30, akiwekeza anapata kama laki 2.6, na ile ya mwezi kama laki 6, ukijumlisha ni kama laki nane ila angepata yote mil 90 akiwekeza atapata laki 7, na mara zote mtumishi hawezi wekeza zaidi ya kufanya miradi isiyolipa. Nadhani serikali ijikite kutoa elimu zaidi kwa watumishi
Itoe elimu juu ya uwekezaji. Na sio kumlazimisha mtu kuwekeza sehemu asiyotaka kuwekeza kwa kukata pesa yake.

Uwekezaji hauko hivyo! Mfundishe mtu apate elimu achague sehemu ya kuwekeza. Kuna maeneo mengi ya kuwekeza na ukapata faida.

Hauwezi kumchagulia mtu awekeze wapi, bali mfundishe mtu wapi akiwekeza atapata faida kwa umri wake.

Lakini si kwa kuzuia pesa yake na kusema unamsaidia kwa kuwekeza!!
 
nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.

Umeongea porojo tu kwa kigezo cha technical language uliotumia ili kuji defence ila huna la maana uliloongea hapo chief.

Hii mifuko ya jamii iko incapable to wisely invest the fundS wanazokata watumishi kutengeneza faida ambazo mwisho wa siku ndio walipaswa kuwapa mafao yao kama ilivyokua zaman.

Mnatumia fedha za mifuko ya jamii kwa ajili ya ku fund operational costs za serikali na mamno mengine ambayo sio dhumuni la fedha hizo.

Na hata hizo zinazotumika katika investments mnazi channel kwenye white elephant project mirad kama ile ya Dege kigambon ambayo mwisho wa siku haizalishi kitu zaid ya hasara tupi.

Na mwisho wa siku ili ku cover huu upumbavu wenu wa kukosa weredi ,ndio mnakuja na mabadiliko ya sheria na kupunguza mafao ya mkupuo kwakua mnajua kabisa hiyo mifuko yenu inakwenda kufa..

Yote hii ni katika kukwepo uwajibikaji wa ujinga wenu. Mna lack checks n balance katika uendeshaji wa fedha za mafao za watumishi ndio maana kila siki mnakuja na mbinu za kuwabana na kuwadhurumu.
For the most nimekuwa nikitoa sababu hizo hizo kama ku-fail kwa hizo pension funds.

Kwa ‘replacement rate’ ya 1/580 mfuko unaweza kuendeshwa kama ‘Ponzi Scheme’ and a very successful one. Bila ya hata hizo ‘pension funds’ ku-invest sehemu nyingine yoyote na wanalipa watu muda ukifika bila ya shida.

The idea of final pension ni kumlipa mtu above 20% ya michango yake for life. Sasa kama wana kulipa 11% mtu uliechangia for 30 years, even lower for those with few years.

Ina maana wanatengeneza a minimum of 9% and higher kwa kila mchangiaji on profit why bother hata ku-invest michango sehemu nyingine wakati una faida tayari. Una invest michango ili ulipe above above 20% ‘replacement rates’ nzuri ni below 1/100 fair between 1/100-1/200 above that is just a rip off 1/580 is just too low and meaningless halafu not for life.

Bora hata hiyo 20% ya mshahara upeleke kwenye bank savings account wakupe compound interest hata ya 5% you will be way better muda wa kustaafu ukifika.

Kwa hiko kikokotoo maana yake mifuko ni chałi miguu juu; sasa lilieni 50% withdrawal wanasiasa wafanye cheap politics kukubali. Wengi huko mbele amtalipwa kabisa. Ni muda sasa hizi pension kuwa partly private institutions kama kwenye banks serikali aiwezi endesha hiyo mifuko.
 
For the most nimekuwa nikitoa sababu hizo hizo kama ku-fail kwa hizo pension funds.

Kwa ‘replacement rate’ ya 1/580 mfuko unaweza kuendeshwa kama ‘Ponzi Scheme’ and a very successful one. Bila ya hata hizo ‘pension funds’ ku-invest sehemu nyingine yoyote wanalipa bila ya shida.

The idea of final pension ni kumlipa mtu above 20% ya michango yake for life. Sasa kama wana kulipa 11% mtu uliechangia for 30 years, even lower for those with few years.

Kama wanatengeneza a minimum of 9% and higher kwa kila mchangiaji why bother hata ku-invest michango sehemu nyingine wakati una faida tayari. Una invest michango ili ulipe above above 20% ‘replacement rates nzuri ni below 100 fair between 100-200 above that is just a rip off 1/580 is just too low halafu not for life.

Bora hata hiyo 20% ya mshahara upeleke kwenye bank savings account wakupe compound interest hata ya 5% you will be way better muda wa kustaafu ukifika.

Kwa hiko kikokotoo maana yake mifuko ni chałi miguu juu; sasa lilieni 50% withdrawal wanasiasa wafanye cheap politics kukubali. Wengi huko mbele amtalipwa kabisa. Ni muda sasa hizi pension kuwa partly private institutions kama kwenye banks serikali aiwezi endesha hiyo mifuko.
Pamoja.
 
CCM Ndiyo Iliyopitisha Sheria Kupitia Hawa Hawa Wabunge
Leo Wanasema Hayo Sababu Ya Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Ila Hawa Ni Wauaji
 
jambo hili ni la kisera lakini pia ni la kisheria. Serikali sikivu ya ccm, imesikia maoni na mitazamo ya wanainchi, wadau na wafanyakazi juu ya kikokotoa cha sasa, na bila shaka kwa wakatiki muafaka itakuja na maelezo na hatua mujarabu za kimkakati, kisera na kusheria, ili hatimae kuhitimisha jambo hili kwa muafaka wa pamoja... :NoGodNo:

muhimu zaidi ni kua wastahimilivu, wangwana na wenye subra:Doits:
pumbafu
 
Na ndio maana PSPF mfuko ulishindwa kuendelea ukafa sasa unampa mtu mkupuo 73% unabaki na 27% hivi hiyo 27% utamudu vipi kumpa pension yake ya kueleweka ya kila mwezi maisha yake yote?

Hivi kumbe kweli akili huna hata nukta, umesoma sbb hasa za mifuko ya wastaafu kupata madeni ni nini? Unajua tatizo ni nini? Hivi wewe hata hujui lolote div 0 kabisa

Sababu kuu ya mifuko ya wastaafu kupata madeni sio waajiriwa kulipwa mafao yao, huna akili wewe, ina maana hata taarifa ya CAG huijui na husomi, of course kwa kichwa chako hicho huwezi soma..!!

Sbb kubwa ya mifuko ya wastaafu kuelemewa na madeni ni Serikali kukopa katika mifuko hiyo na kufanya miradi mibovu na kuchukua trillions za fedha bila kurudisha katika mifuko hiyo, hiyo ndio sababu kuu hakuna kingine, na sio eti sbb ya % au asilimia kubwa au tofauti au sbb ya kulipa wastaafu, umeelewa kichwa maandazi wee.

Nikupe hints muhimu sbb wewe ni kichwa nazi, mashirika kama mifuko ya hifadhi ya jamii, yaani NSSF or PSSSF au mashirika ya Bima au NHC au Bandari au Hifadhi za Taifa, haya mashirika kupata hasara ni ngumu mnooooooooo, labda uchumi hujui, sbb kazi yao kubwa ni kukusanya fedha tu, na expenditure yao ni ndogo sanaaaa vs mapato, so leo huwezi niambia Shirika la Bima life kwa hasara, yaani hapo ni wizi na ufisadi iliopitiliza ujue imetokea the same to mifuko ya hifadhi ya jamii, they always make enormous amount of profits, billions if not trillions in profits duniani kote..!!

Umeelewa wewe penguin..!! Div 0 wee..!!
 
Ndio maana kila siku uwa nasema nchi inahitaji ‘social reformer’ wakubadili jinsi watanzania wanavyofikiri.

Unapigia kelele mambo ya finance inawezekana hata abc huna. Nikwambia leta audited financial statement hata za miaka ya nyuma ya pension yeyote iliyopo leo au hata zilizofutwa uwezi pata hizo info.

Hizo statement zenyewe ata ukipata kuangalia important ratio zenye kuonyesha financial stability za fund sidhani kama unajua uanzuie. Halafu unataka kuongea mambo yanayohitaji raw data ufanye ‘financial modelling’ kupims uwezo wao kama węża lipa zaidi.

Watumishi mnakazana serikali inaonea watu mkiulizwa how so? Mnakimbilia na hadithi za historia.

Hujui hata capabilities zao halafu mnabisha tu inawezekana serikali inawaonea. Using what logic, ni mambo tu mnayotoa vichwani.

Fikra hizi ni karibu sehemu zote ukisikiliza hoja za watanzania 90% ni illogical ni mambo tu ambayo watu wanajitolea vichwani mwao mpaka mawaziri.

Someone has to change how these people think, uwezi kuendelea kwa speed kama hivi ndio asilimia kubwa ya wananchi wanavyofikiria.

👋
Kijana huwezi kuwa mjuzi wa kila kitu hata wewe nikikuleta kwenye field yangu utajionea mazingaombwe tu. Kuna vitu havihitaji terminology nyingi kama unavyotaka kuaminisha umma kwa viterminology vyako.
 
Back
Top Bottom