Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kueleweshana na watanzania ni sawa na kutangwa maji kwenye kinu.Your stupid.. imagine Daktari bingwa wa upasuaji Moyo/ ubongo/ tumbo/ akina Mama.. muda wote anawaza kutibu watoto wako... hana biashara huko nje ... hana mambo mengi.. yeye anawqza kufanya operation kuokoa maisha yako.. leo unamtukanA....!!!
😡very rigid thinking people.
I can live with that
Wewe na mashaka na kichwa chako.Yaani anmtetea mtu ambae amekaa nyumba ya serikali miaka 30 bure kashindwa kujenga ndani ya muda huo. Watanzania inabidi tujifunze wengine wanavyoishi huko.
Nchi zilizoendelea ukipata benefits zifuatazo bure, kama nyumba, gari full time, mafuta, furnishing, matunzo ya nyumba. Tax man atakwambia hizo ni ‘benefits in kind’.
Nyumba itaangaliwa thamani yake ya kukodisha sokoni utalipa percentage fulani ya market rent value kama kodi, mafuta utapigiwa bei ya mwezi unayogharamiwa utalipa kama kodi, furniture za nyumba zikizidi kiwango kinachoruhusiwa excess utalipa kama kodi.
Hakuna vya bure bure huko na bado mtu anastaafu na nyumba nzuri tu kwa sababu akiwa kwenye benefits za taasisi anaokoa hela nyingi tu. Yaani Tanzania mtu anataka kumuhurumia mtu alieishi miaka 20-30 kwa benefits luluki ambazo free.
Anahitajika mtu wa kuwabadili fikra watanzania.
Kisicho riziki akiliki kijana, mtumishi wa umma ana haki ya kuwekewa mazingira rafiki ya ufanyaji kazi pamoja na motisha ili kuongea ufanisi katika kazi.Msiwafanye wananchi wajinga nyie wafanyakazi wa serikali
Wananchi inabidi tuingie mitaani kupinga asilimia 15 serikali iliyowachangia michango ya pension kila mwezi kutokana na kodi zetu iondolewe kwenye kikokotoo h8cho kioya haraka
Haiwezekani mnalipwa mishahara wengine hata ajira hawana mnachangia mifuko ya pension asilimia 5 tu halafu serikali inakamua tena walipa kodi inawachangia asilimia 15 kila mwezi mifuko ya pension Huo ni wizi .Hizo asilimia 15 kama zimo humo.kwenye kikotoo zitolewe zirudi hazina zipelekwe kwa vijana wasio na ajira wakajiajiri nyie chukueni pension asilimia tano tu mlizochangia
Kodi zetu hizo asilimia 15 tunazitaka wananchi ..Mnalipwa mara mbili nyie wafanyakazu wa serikali kwanza mnalipwa mishahara halafu tena mnalipiwa asilimia 15 ya michango ya pension .Hilo haliko sawa .Hizo asilimia 15 ziende kwenye mfuko wa kusaidia wasio na ajira wakiwa naxo nao watachangia asimia tano
Nyie wafanyakazi wa serikali na wabunge ndio mnaokula sana keki ya nchi.Wafanyakazi tunataka asilimia 15 hiyo irudi hazina msiichukue chukueni asilimia tano yenu hiyo ndio haki yenu
Kikokoto kipya kitoe hizo asilimia 15 mtakapolipwa sio zenu hizo zenu asilimia 5 ndio zenu
Kikokotoo cha sasa kijizi kinaibia kodi za wananchi asilimia 15 wanazochangiwa na serikali mifuko ya pension .Hiyo asilimia 15 iondolewe kwenye kikokotoo
Uwezekano ulikuwepo wakauharibu ili wakubwa waibe vizuri, mbona viongozi hawafanyiwi wanavyofanyiwa raia?na kama kuna uwezekano wa kutatua hilo tatizo tulitatue" amesema Musukuma.
Anza na Salma Kikwete anayechangia 0% PSSSF lakini analipwa Millions for nothingKodi zetu hizo asilimia 15 tunazitaka wananchi ..Mnalipwa mara mbili nyie wafanyakazu wa serikali kwanza mnalipwa mishahara halafu tena mnalipiwa asilimia 15 ya michango ya pension .Hilo haliko sawa
Kichwa changu hakina impact katika maisha yako ya kila siku uhitaji kukifikiria surely una mambo mengine ya kuweza ku-occupy kichwa chako kuliko kufikiria in details members wa JF.Wewe na mashaka na kichwa chako.
Kuna hatua nyingine wanaweza kuchukua tofauti na hiki kikokoto kuhakikisha sustainability ya mfuko. Wafanye hivyoKichwa changu hakina impact katika maisha yako ya kila siku uhitaji kukifikiria surely una mambo mengine ya kuweza ku-occupy kichwa chako kuliko kufikiria in details members wa JF.
Elewa tu hadi kufikia hayo maamuzi ya kikotoo washafanya ‘time series forecasting’ zao wana estimate ya michango ya mbele, forecasts za future interests earned kutokana na investments zao, reserved cash needed to meet current and future obligation na kuona uwezo wao hadi kukupa hiko kikokotoo.
Sasa wewe jifanye unajua sana unataka 50% withdrawal meli inazama hiyo usije kulia humu huko mbele ukiwa unaenda kudai pension yako wanakusumbua rudi kesho hadi mwaka unaisha.
Wazungu wanamsemo ‘it’s only easy if you know it’, sasa ngoja ‘bi-tozo’ ajipindue ndio huko mbele mtaelewa watu kama sisi tupo upande wa serikali au watumishi wasisumbuliwe.
Labda kama hana nia ya kujihusisha na siasa kuanzia 2025. Otherwise anajua anachokifanya. Sio kwamba ana uchungu na nchi ama wananchiMusukuma pamoja na ujinga wake lakini kuna saa dish huwa linakaa sawa anaongea fact
Uwe muelewa.Ni watumishi wangapi Tanzania wanaishi nyumba za bure za serikali?Ndiyo maana huwa nakuuliza maswali ya kipuuzi ili ujifunze kitu.Fumbua macho wewe balozi wa nyumba kumi mkusanya michango ya misiba kitongojini(siyo meya)!Yaani anmtetea mtu ambae amekaa nyumba ya serikali miaka 30 bure kashindwa kujenga ndani ya muda huo. Watanzania inabidi tujifunze wengine wanavyoishi huko.
Nchi zilizoendelea ukipata benefits zifuatazo bure, kama nyumba, gari full time, mafuta, furnishing, matunzo ya nyumba. Tax man atakwambia hizo ni ‘benefits in kind’.
Nyumba itaangaliwa thamani yake ya kukodisha sokoni utalipa percentage fulani ya market rent value kama kodi, mafuta utapigiwa bei ya mwezi unayogharamiwa utalipa kama kodi, furniture za nyumba zikizidi kiwango kinachoruhusiwa excess utalipa kama kodi.
Hakuna vya bure bure huko na bado mtu anastaafu na nyumba nzuri tu kwa sababu akiwa kwenye benefits za taasisi anaokoa hela nyingi tu. Yaani Tanzania mtu anataka kumuhurumia mtu alieishi miaka 20-30 kwa benefits luluki ambazo free.
Anahitajika mtu wa kuwabadili fikra watanzania.
Hatua gani?Kuna hatua nyingine wanaweza kuchukua tofauti na hiki kikokoto kuhakikisha sustainability ya mfuko. Wafanye hivyo
Sasa nifanye kazi gani kila siku unanipa wazo jipya mara nikusanye michango ya misiba, leo niwe balozi wa nyumba kumi kumi huko hata sijui kuna michango gani ya kukusanya; hasa huku uswahilini kwetu buku tu mną analalama kutoa.Uwe muelewa.Ni watumishi wangapi Tanzania wanaishi nyumba za bure za serikali?Ndiyo maana huwa nakuuliza maswali ya kipuuzi ili ujifunze kitu.Fumbua macho wewe balozi wa nyumba kumi mkusanya michango ya misiba kitongojini(siyo meya)!
Jifunze uraghibishi.Fanya ushawishi.Kuvutia hadhira.Sasa nifanye kazi gani kila siku unanipa wazo jipya mara nikusanye michango ya misiba, leo niwe balozi wa nyumba kumi kumi huko hata sijui kuna michango gani ya kukusanya; hasa huku uswahilini kwetu buku tu mną analalama kutoa.
Mbona mambo yanajulikana yaliyopelekea mifuko hiyo kutaka kupoteza uwezo wa kuhudumia wateja wake. Kilichofanyika ni kumuwajibisha A kwa kosa la B.Hatua gani?
Unafahamu time series forecasting lengo ni nini? Au unadhani hiko kikotoo wamejipangia.
Vinginevyo ili uje na counter argument yao unahitaji data za wachangiaji wa leo, historical data za final year average of various groups, current investments portfolio and interest earnings, risk za payments delays kutoka serikalini na mambo luluki ili uweze kufanya time series forecasts zako uone kama una uwezo wa kulipa zaidi.
Haya sio mambo ya kuropoka tu wanaweza bila ya kutumia data. Sasa CAG ambae anakagua anakwambia pension sio sustainable actions are needed to save it.
Pension wamefanya wanavyoweza to limit the risks of failing to meet their obligations completely, wewe unajua zaidi yao they can do better.
Nikikuuliza how so? Najua Una maelezo yenye financial logic. I don’t nani wakutiliq mashaka kati ya kichwa chako na changu.
Ni watu mnaoshi kwenye dunia, thinking things just happen by wishful thinking. Mwambieni huyo mama yenu athubutu kwenda na hiko kikokotoo tuone huko mbele kama mtapata hata hayo malipo.
👋
Wewe umesema kuna option wanaweza lipa hiyo 50%. Tuelezee how hiko ndio tunachosubiri sio historia ya mifuko ilipotokea hizo habari kuna source luluki wote tunaweza kwenda kujisomea.Mbona mambo yanajulikana yaliyopelekea mifuko hiyo kutaka kupoteza uwezo wa kuhudumia wateja wake. Kilichofanyika ni kumuwajibisha A kwa kosa la B.
Nenda kapitie Kutoka kwenye hizo source mbalimbali Utapata majibu ya nini kifanyike badala ya kumuwajibisha A kwa kosa la BWewe umesema kuna option wanaweza lipa hiyo 50%. Tuelezee how hiko ndio tunachosubiri sio historia ya mifuko ilipotokea hizo habari kuna source luluki wote tunaweza kwenda kujisomea.
Muhimu ni maelezo ya vipi unadhani wanaweza lipa hiyo lump-sum ya 50%. Kwa hali yao ya sasa.