Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

Kijana huwezi kuwa mjuzi wa kila kitu hata wewe nikikuleta kwenye field yangu utajionea mazingaombwe tu. Kuna vitu havihitaji terminology nyingi kama unavyotaka kuaminisha umma kwa viterminology vyako.
Kama ujawahi kuniona nikichangia kwenye mada za field yako maana yake nina limited knowledge huko.

Halikadhalika na wewe utakiwi kuchangia mada ambazo unajua una limited knowledge kibaya zaidi unakebei watu, ilhali uwezi justify hoja zako.

Sijawahi ata siku moja kusema najua kila kitu, hayo ni mawazo yako tu.
 
Hili nimechangia kwasababu linanihusu moja kwa moja. Wala sihitaji kuwa na PhD ya uchumi kutambua kikokoto cha sasa kina umiza mtumishi wa umma.
 
Elimu yetu imeshindwa kutusaidia, Bunge Lina watu wanaojiita wasomi ila hakuna wanachoisaidia nchi, mtu kama Msukuma mnaomwita Kilaza sio msomi ndio anaongea vitu vya kueleweka kuliko hata hao wanaojiita wasomi
Ukisoma uwezo wako wa asili wa uelewa unaondoka/kufutiwa na unaingia/kupokea kichwani kwako mawazo ya watu wengine.Kile ulichosoma.
 
Upo sahihi kabisa
 
We jamaa chenga na boya kweli. Kwa taarifa yako wafanyakazi ndiyo walipa kodi wakubwa kuliko wafanyabiashara na nyie watu wa mtaani. Tena wafanyakazi hawana pa kukwepea hiyo kodi kama walivyo wafanyakazi na watu wa mtaani. Unawaonea husda wafanyakazi kwao wao ndio waliokutuma uache shule na hivyo kukosa ajira rasmi?
 
Kwa mtizamo wako ni wastaafu watarajiwa wangapi wanaoingia kwenye hilo kundi la kupata hizo benifits? Acha porojo za google kwenye uhalisia wa maisha ya mtanzania.
 
Mishahara kuwa midogo ndio tatizo! mishahara ingekuwa inakidhinwalau nusu ya mahitaji ya watumishi, ningeungana na wewe.
Mimi sipo kutetea upokwaji wa haki za watu, natoa tahadhari tu CAG amesema mara kadhaa ‘financial position’ ya mifuko ipo hatarani.

Sasa sidhani kama wamefikia hatua hiyo ya kulipa 33% kwa bahati mbaya, washafanya financial modelling zao wanajua uwezo wao.

Vinginevyo mtu akiweza kuchukua withdrawal ya 100% or 50% sio swala ambalo litanikosesha usingizi; hata wao huko serikalini sidhani kama watakosa usingizi.

Common sense says wamekuja na kikotoo hiko kwa sababu that’s what they can afford to pay for the foreseeable future given their cashflow anticipation. Sasa lazimisheni watoe 50% I guarantee you sio muda mrefu huo mfuko utakuwa chałi. Hoja ni uwezo wa sasa sio huko nyuma ilikuwaje. Vinginevyo wawape vyovyote mnachotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…