Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kama ujawahi kuniona nikichangia kwenye mada za field yako maana yake nina limited knowledge huko.Kijana huwezi kuwa mjuzi wa kila kitu hata wewe nikikuleta kwenye field yangu utajionea mazingaombwe tu. Kuna vitu havihitaji terminology nyingi kama unavyotaka kuaminisha umma kwa viterminology vyako.
Halikadhalika na wewe utakiwi kuchangia mada ambazo unajua una limited knowledge kibaya zaidi unakebei watu, ilhali uwezi justify hoja zako.
Sijawahi ata siku moja kusema najua kila kitu, hayo ni mawazo yako tu.