Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Sasa kwa nini hajaenda, tujue kama anayoongea ni kweli.
 
Kuna doctor Tanzania aliyeandika alichokivumbua yeye! Au kuonyesha ubora wa kukariri content za nje, elimu isiyokuwa results oriented ni kifungo cha maisha badala ya ufunguo wa maisha…
 
Wewe ndio wasema hivyo, huko kwenye dunia ya kwanza Bill Gates ni college dropout, Kanye west, Elon Mask na watu wengi tu wa class yako ya kwanza hawajamaliza au kusoma vyuo…. Niambie USD Billionaire Jay z au Lebron James, Messi, Ronaldo na kina Silvester Stalon wana degree za wapi…

Pharrell Williams kawa director LV na hana hivyo vyeti vyenu zaidi ya ubunifu na vipawa. cheki output yao kwa jamii na kwao binafsi…Elimu yetu ni kifungo cha maisha… maana tunakariri kuwa msomi ndio high class… high class ni mtu mwenye kipaji, maarifa, ubunifu.

Unaweza compare idadi ya watu wanaoishi kwa kutegemea ujira wao kutoka kwa ma professor wote wa TZ vs Barkhresa pekee? Tena ambaye sio msomi, achilia mbali kina msukuma.

Endelea kuzunguka na bahasha ya kaki..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Your browser is not able to display this video.

Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma amesema vyuo vikuu 11 Tanzania vinamtaka akafundishe masuala ya uchumi aongeza kuwa anayepinga udaktari wake uchunguzi ufanyike na anayebisha wakae kwenye debate watanzania ndio wataamua.
 
Hivi kwanini mnachukuaga sample ndogo za wasiosoma wakafanikiwa halafu kundi kubwa la wapiga debe,panya road,madalali wadogo wa mitaani,Makonda daladala,madereva omba omba mitaani hawa mbona huwa hamuwasemagi?

Binafsi sipendi kizazi cha siku hizi kunavyo zarau elimu
 

Ulivyo mpumbavu na zezeta umeshindwa hata kuelewa theme ya bandiko lqngu umekimbia kule kule kwenye kichaka chenu cha unyani kima wewe. Soma historia vizuri za hao watu kisha urudi hapa.

Mnapenda sana kujifariji kitoto ila moyoni mwenu mnatamani sana sifa ya kuitwa wasomi, hapo ulipo umeshindwa maana hukua na akili ulikua tutusa au garasa darani mmebaki kujifariji na nyenyenye za kipumbavu!

Kwa taarifa yako mi sio kima kama wewe nipo mbali sana kimaisha sababu ya shule we endelea kuuza ngogwe hapo mabibo kima wewe.
 
Mjinga kwa angle ipi? Uchumi ni matendo na sio kuwa na utitiri wa makaratasi ambayo hayana impact yoyote kwako binafsi na jamii inayokuzunguka.

The way unavyoweza kuconvert ideas kuja kwenye pesa ndicho kinacho matter sana kuliko ngonjera za usomi na phd.
 
CCM bado wako kwenye zama za wajinga wawili wakiunga wanamzidi msomi mmoja
 
Kuna kipindi nilikuwa najutia kwa kutopata elimu,
niliumia sana nikiona washikaji zangu wakimaliza vyuo vikuu.
Ila kwa sasa wao ndio wanaonifata kuomba maarifa ya jinsi ya kufanya biashara na kuingiza pesa.
Binafsi mm msukuma kusema hivyo nimemuelewa sana kuliko wengi mlivyomuelewa, leo hii ukienda kwenye migodi yake kuna watu wana master's achilia mbali kwenye usafirishaji. Hivi niwe na hela wewe una mivyeti yako nani mwenye elimu?
Kama una elimu na bado imeshindwa kukukomboa na mwisho wa siku ukaajiriwa na asiye na elimu,
Wewe hukusoma bali ulienda kupoteza muda.
 
Kaongea ukweli
Wewe mchumi unayemiliki Dr. Umekosa hata kiwanja au biashara huo uchumi wako unafaida gani kwenye jamii.

Tuna PhD za makalatasi ukija field Ni zero zero zero

Msukuma kazia hapo
Pamoja na hayo, bado tuipe heshima ELIMU!
Tutafika mahali, tutaona ELIMU haina maana, kisa una fedha, bila kujali umeipataje!
 
Elimu inadhalilishwa mno jamani..arghh
Mapropesa na madakitali PhD ndio wana zaililisha sana hapa kwetu.. Msukuma nilibahatika kukaa mala mbili.. nje ya fujo za siasa na mambo yake binafsi.. kichwani ana kitu cha ziada na elimu yake ( maarifa yake ) yanafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…