Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

Ha [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Ati Mwabukusi ni NCCR-Mageuzi.

CHADEMA bana.

Hii ni mpya, na kali.

Kama kuna Chama kinachojishaua na kugeuza geuza taswira ni CHADEMA.
Ni wewe tu na akili zako za uvunguni ndo hujui kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge Mbeya 2020 kupitia NCCR.
 
Ni wewe tu na akili zako za uvunguni
Ha ha , sasa na wewe unatafuta nini huko uvunguni?
ndo hujui kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge Mbeya 2020 kupitia NCCR.
Sasa kujua au kotojua kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge mbeya kupitia NCCR ndio kunamfanya asiwe CHADEMA leo hii?

Je, ndio sababu CHADEMA mmeshindwa kuwapatia ushirikiano wakina Dk.Slaa, Adv.Mwabukusi na Mdude wa Chadema wanaopigana na adui Mmoja?

A common enemy?
 
Ha [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Ati Mwabukusi ni NCCR-Mageuzi.

CHADEMA bana.

Hii ni mpya, na kali.

Kama kuna Chama kinachojishaua na kugeuza geuza taswira ni CHADEMA.
Dada ahhh,dada yake na seleee
 
Ha ha , sasa na wewe unatafuta nini huko uvunguni?

Sasa kujua au kotojua kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge mbeya kupitia NCCR ndio kunamfanya asiwe CHADEMA leo hii?

Je, ndio sababu CHADEMA mmeshindwa kuwapatia ushirikiano wakina Dk.Slaa, Adv.Mwabukusi na Mdude wa Chadema wanaopigana na adui Mmoja?

A common enemy?
Umeamua kuwa mpuuzi,Mwabukusi ni mwanachama wa NCCR Mageuzi,afanye mikutano ya Chama chake.
CHADEMA ina program zake,usilazimishe ifuate mipango ya hicho mnakiita sauti ya watanzania kwa kisingizio cha kupigana na common enemy
Kilichowatoa Mwabukusi na Slaa CHADEMA ni nini kama wana lengo la kupigana na common enemy?
 
ndio maana watu wanawashauri hawa watu wawili waanzishe chama kipya cha siasa mapema, wakizuiwa waiburuze serikali mahakamani mapema iwaruhusu kwasababu ni haki yao kikatiba kufanya hivyo.
Chama gani cha wabwabwajaji, wanajijua hawawezi
 
Umeamua kuwa mpuuzi,Mwabukusi ni mwanachama wa NCCR Mageuzi,afanye mikutano ya Chama chake.
CHADEMA ina program zake,usilazimishe ifuate mipango ya hicho mnakiita sauti ya watanzania kwa kisingizio cha kupigana na common enemy
Kwahiyo unakubaliana nami CHADEMA ni wanafiki? Walidanganya Umma?
Kilichowatoa Mwabukusi na Slaa CHADEMA ni nini
CHADEMA wamewasaliti wenzao kwa sababu tu Mwabukusi et al Wanang'ara. Period
kama wana lengo la kupigana na common enemy?
Hayo juu mkae mjadiliane CHADEMA wenyewe.

Nakazia, CHADEMA na 255 ilibuma, kilichofuatia ni kuteka nguvukazi ya Mwabukusi et al na kuunganisha kwenye 255 2.0 ambamo waliongezea okoa Bandari. Bila hivyo Wananchi walikuwa wameshawachoka na mbwembwe kibao, too much bark with no bite.
Yaani Dr Slaa alishindwa kumchallenge akiwa chadema aje kuweza akiwa nje ya chadema?
Ndio maana wananchi wamekaa kitahadhari, manake wanaona viashiria vya Udikteta ndani ya CHADEMA, nje Je? well tunayaona.
Ni hivi, hiyo sauti ya waTanzania ni pressure group na inaongelea mambo ya katiba mpya na bandari sasa kivipi tena Iwe threat kwa chadema?
Kwa mantiki hiyo hawana Nguvu, sasa tatizo lipo wapi kuwapa ushirikiano? Mnaogopa nini?
 
Kwahiyo unakubaliana nami CHADEMA ni wanafiki? Walidanganya Umma?

CHADEMA wamewasaliti wenzao kwa sababu tu Mwabukusi et al Wanang'ara. Period

Hayo juu mkae mjadiliane CHADEMA wenyewe.

Nakazia, CHADEMA na 255 ilibuma, kilichofuatia ni kuteka nguvukazi ya Mwabukusi et al na kuunganisha kwenye 255 2.0 ambamo waliongezea okoa Bandari. Bila hivyo Wananchi walikuwa wameshawachoka na mbwembwe kibao, too much bark with no bite.

Ndio maana wananchi wamekaa kitahadhari, manake wanaona viashiria vya Udikteta ndani ya CHADEMA, nje Je? well tunayaona.

Kwa mantiki hiyo hawana Nguvu, sasa tatizo lipo wapi kuwapa ushirikiano? Mnaogopa nini?
Unaandika upumbavu sana,kwa akili yako ndogo unahisi unaandika hoja.
Kaa na upuuzi wako
 
Vuguvugu la kweli la mageuzi limeanza kufukuta.

Soon mtaona kinachoenda kutokea
Chadema, ACT, NCCR na Ccm vimeshikamana kwa dhati kudhibiti kundi haramu la Slaa na wenzie

hii ndio Tanzania
 
Unaandika upumbavu sana
Sijawahi kuona pahali mtu anajibu Upumbavu, zaidi ya upuuzi wako wa Makusudi. Huna hoja.
,kwa akili yako ndogo unahisi unaandika hoja.
Wewe akili yako umeiona? Unashupaza shingo la nini? Ngoja sindano ikuingie.

CHADEMA wamewasalit Wananchi kwa kuwatolea nje kina Mwabukusi et al.
Kaa na upuuzi wako
Hujajibu hoja.

==================
Fact:
Kinaugaubaga chini ni
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA

"Kamati Kuu inaunga mkono jitahada mbalimbali zinachochukuliwa nawananchi mbalimbali nchini kupinga mkataba huo ikiwemo wale waliochukua hatua za kufungua kesi dhidi ya Serikali kwa ajili hiyo katika Mahakaka Kuu ya Tanzania."
"Kamati Kuu imeazimia pia kwamba itashirikiana na wananchi kupitia makundi mbalimbali bila kujali itikadi zao katika kupinga mkataba huu wauendeshaji wa Bandari nchini."

....ngoma zenu wenyewe, njoo ukatike hapa.

kwanini CHADEMA wamebadilisha gia angani, na kuwatelekeza Wananchi?
 
Huyu jamaa bana, kipindi hicho ka kijana kalikua very objective. Nakumbuka kipindi cha Kampeni za ubunge wa Jimbo la Temeke amnapo yeye ndiye aliteuliwa na NCCR kuwa Mwenyekiti wa Kampeni.
Akisimama jukwaani ilikua ikikimbiza sana, akishuka yeye anapanda Masumbuko Lamwai, akishuka Lamwai anapanda Mabere Nyaucho Marando.
Kikosi kilikua kimekamilika hasa.
Lakini tangu ule Mkasa wa pale pale Raskazone wakasambaratika kabisa, na siku hizi namuona yupoyupo tu.
Nakumbuka kulikua na Mwanamama akiitwa Chiku Abwao, alitumwa kumchafua Mrema kuwa si muadilifu, akaja na madai kuwa alipokuwa NCCR, Mrema alikua akimshikashika manyonyo yake ndiyo maana yamekuwa Makubwa[emoji2].
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
ndio maana watu wanawashauri hawa watu wawili waanzishe chama kipya cha siasa mapema, wakizuiwa waiburuze serikali mahakamani mapema iwaruhusu kwasababu ni haki yao kikatiba kufanya hivyo.
Waashiria uchwara
 
Back
Top Bottom