johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wachagga na Siasa Biashara 😂😂😂Hii NCCR imetiwa kapuni na Kinana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachagga na Siasa Biashara 😂😂😂Hii NCCR imetiwa kapuni na Kinana.
Ni wewe tu na akili zako za uvunguni ndo hujui kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge Mbeya 2020 kupitia NCCR.Ha [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Ati Mwabukusi ni NCCR-Mageuzi.
CHADEMA bana.
Hii ni mpya, na kali.
Kama kuna Chama kinachojishaua na kugeuza geuza taswira ni CHADEMA.
Ha ha , sasa na wewe unatafuta nini huko uvunguni?Ni wewe tu na akili zako za uvunguni
Sasa kujua au kotojua kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge mbeya kupitia NCCR ndio kunamfanya asiwe CHADEMA leo hii?ndo hujui kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge Mbeya 2020 kupitia NCCR.
Hv 30 yupo,jamaa hajaonekana muda mrefu sana kumbe ni kwa sababu AKILI hazimo kichwani ni punguani.
Dada ahhh,dada yake na seleeeHa [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Ati Mwabukusi ni NCCR-Mageuzi.
CHADEMA bana.
Hii ni mpya, na kali.
Kama kuna Chama kinachojishaua na kugeuza geuza taswira ni CHADEMA.
Umeamua kuwa mpuuzi,Mwabukusi ni mwanachama wa NCCR Mageuzi,afanye mikutano ya Chama chake.Ha ha , sasa na wewe unatafuta nini huko uvunguni?
Sasa kujua au kotojua kwamba Mwabukusi aligombea Ubunge mbeya kupitia NCCR ndio kunamfanya asiwe CHADEMA leo hii?
Je, ndio sababu CHADEMA mmeshindwa kuwapatia ushirikiano wakina Dk.Slaa, Adv.Mwabukusi na Mdude wa Chadema wanaopigana na adui Mmoja?
A common enemy?
Chama gani cha wabwabwajaji, wanajijua hawawezindio maana watu wanawashauri hawa watu wawili waanzishe chama kipya cha siasa mapema, wakizuiwa waiburuze serikali mahakamani mapema iwaruhusu kwasababu ni haki yao kikatiba kufanya hivyo.
Ndio na aligombea ubunge BUSOKELO 2020 kupitia NCCRAdv. Mwabukusi ni NCCR -Mageuzi?
Yaani Dr Slaa alishindwa kumchallenge akiwa chadema aje kuweza akiwa nje ya chadema? Ni hivi, hiyo sauti ya waTanzania ni pressure group na inaongelea mambo ya katiba mpya na bandari sasa kivipi tena Iwe threat kwa chadema?Is Mbowe's Leadership being challenged?
Kwahiyo unakubaliana nami CHADEMA ni wanafiki? Walidanganya Umma?Umeamua kuwa mpuuzi,Mwabukusi ni mwanachama wa NCCR Mageuzi,afanye mikutano ya Chama chake.
CHADEMA ina program zake,usilazimishe ifuate mipango ya hicho mnakiita sauti ya watanzania kwa kisingizio cha kupigana na common enemy
CHADEMA wamewasaliti wenzao kwa sababu tu Mwabukusi et al Wanang'ara. PeriodKilichowatoa Mwabukusi na Slaa CHADEMA ni nini
Hayo juu mkae mjadiliane CHADEMA wenyewe.kama wana lengo la kupigana na common enemy?
Ndio maana wananchi wamekaa kitahadhari, manake wanaona viashiria vya Udikteta ndani ya CHADEMA, nje Je? well tunayaona.Yaani Dr Slaa alishindwa kumchallenge akiwa chadema aje kuweza akiwa nje ya chadema?
Kwa mantiki hiyo hawana Nguvu, sasa tatizo lipo wapi kuwapa ushirikiano? Mnaogopa nini?Ni hivi, hiyo sauti ya waTanzania ni pressure group na inaongelea mambo ya katiba mpya na bandari sasa kivipi tena Iwe threat kwa chadema?
Umejichekesha, haloooo. angalia usidondoshe lesoDada ahhh,dada yake na seleee
Joseph Selasini is a Caretaker Leader of NCCRView attachment 2776940
Who is Joseph Selasini?
Unaandika upumbavu sana,kwa akili yako ndogo unahisi unaandika hoja.Kwahiyo unakubaliana nami CHADEMA ni wanafiki? Walidanganya Umma?
CHADEMA wamewasaliti wenzao kwa sababu tu Mwabukusi et al Wanang'ara. Period
Hayo juu mkae mjadiliane CHADEMA wenyewe.
Nakazia, CHADEMA na 255 ilibuma, kilichofuatia ni kuteka nguvukazi ya Mwabukusi et al na kuunganisha kwenye 255 2.0 ambamo waliongezea okoa Bandari. Bila hivyo Wananchi walikuwa wameshawachoka na mbwembwe kibao, too much bark with no bite.
Ndio maana wananchi wamekaa kitahadhari, manake wanaona viashiria vya Udikteta ndani ya CHADEMA, nje Je? well tunayaona.
Kwa mantiki hiyo hawana Nguvu, sasa tatizo lipo wapi kuwapa ushirikiano? Mnaogopa nini?
Chadema, ACT, NCCR na Ccm vimeshikamana kwa dhati kudhibiti kundi haramu la Slaa na wenzieVuguvugu la kweli la mageuzi limeanza kufukuta.
Soon mtaona kinachoenda kutokea
Sijawahi kuona pahali mtu anajibu Upumbavu, zaidi ya upuuzi wako wa Makusudi. Huna hoja.Unaandika upumbavu sana
Wewe akili yako umeiona? Unashupaza shingo la nini? Ngoja sindano ikuingie.,kwa akili yako ndogo unahisi unaandika hoja.
Hujajibu hoja.Kaa na upuuzi wako
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Huyu jamaa bana, kipindi hicho ka kijana kalikua very objective. Nakumbuka kipindi cha Kampeni za ubunge wa Jimbo la Temeke amnapo yeye ndiye aliteuliwa na NCCR kuwa Mwenyekiti wa Kampeni.
Akisimama jukwaani ilikua ikikimbiza sana, akishuka yeye anapanda Masumbuko Lamwai, akishuka Lamwai anapanda Mabere Nyaucho Marando.
Kikosi kilikua kimekamilika hasa.
Lakini tangu ule Mkasa wa pale pale Raskazone wakasambaratika kabisa, na siku hizi namuona yupoyupo tu.
Nakumbuka kulikua na Mwanamama akiitwa Chiku Abwao, alitumwa kumchafua Mrema kuwa si muadilifu, akaja na madai kuwa alipokuwa NCCR, Mrema alikua akimshikashika manyonyo yake ndiyo maana yamekuwa Makubwa[emoji2].
Waashiria uchwarandio maana watu wanawashauri hawa watu wawili waanzishe chama kipya cha siasa mapema, wakizuiwa waiburuze serikali mahakamani mapema iwaruhusu kwasababu ni haki yao kikatiba kufanya hivyo.