2025 nitatia Nia Nami, naona kwenye siasa kunalipa sana
Yaani Selasini anaamini bila siasa vijana watakufa njaa.
Ukiambiwa unavuta banghi mwenyewe unaona siifa!Kwahiyo kazi ya kufagia pale lumumba utamuachia nani? Au utamwachia kipara kipya na mwenzake Wakudadavua?
Kwi kwi kwi kwi naona unafurahia kuwachiwa kazi ya kufanya usafi hapo lumumba [emoji23][emoji23]Ukiambiwa unavuta banghi mwenyewe unaona siifa!
Nipo safirini beirut wacha nikuchekie zawadi yeyote nikikwambia uchague utanitia aibu kama kipindi kile brunei mtu utaagizaje koti la mvua na bipsKwi kwi kwi kwi naona unafurahia kuwachiwa kazi ya kufanya usafi hapo lumumba [emoji23][emoji23]
Inawezekana hiyo Beirut ni kule koromitdjeNipo safirini beirut wacha nikuchekie zawadi yeyote nikikwambia uchague utanitia aibu kama kipindi kile brunei mtu utaagizaje koti la mvua na bips
Naona anatuandaa kuwapokea vijana hao kama wagombea ubunge kupitia nccr
Koromije ni kwenu weweInawezekana hiyo Beirut ni kule koromitdje
Koromije ni kwenu wewe
Ila nimeamini Freeman Mbowe ni jabali la siasa hapa Tanzania. Pamoja na kumtusi kote sasa wanampigia magoti hadharani.Ukiwa mwanasiasa mtaji wako ni kupendwa na watu na sio dola au mtawala.
Awakujiuliza ni Nani amewahi toka upinzani akang'ara ndani ya ccm, si kaburu, Lamwai, Mpendazoe, Lamwai ukienda ccm Ni lzm ufe kisiasa.
Usipoaminika upinzani huwezi aminika ukienda ccm
Nawaonea huruma wale viti maalumu walioandikiwa barua na kuhamia nccr huku wakitusi ,mbatia kawa mkiwa baada ya kuona kasimamishiwa wabunge poteIla nimeamini Freeman Mbowe ni jabali la siasa hapa Tanzania. Pamoja na kumtusi kote sasa wanampigia magoti hadharani.View attachment 1530030
Huyu mzee vip? Kwani huko walikohamia hakuna vijana? Wapambane....na hilo liwe funzo la kupenda hela za muda mfupi kwa hawa vijanaMbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.
Selasini ametoa kauli hiyo hii leo Agosti 7, 2020, Jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi na kuongeza kuwa vijana hao wanapashwa kuwapokea na kisha kuwalea na kuwarekebisha kwenye makosa yao na kuwapa nafasi za uongozi.
"Naviomba vyama vyote, chama changu cha NCCR-Mageuzi, CCM, CHADEMA tusiwatupe vijana, hata vijana ambao walihama kutoka CHADEMA kwenda CCM wakaenda kushindwa kwenye kura za maoni, tunajua vijana wanavyotangatanga hata katika kutafuta uchumba, wanatafuta fursa fungueni milango hao vijana warudi waweze, kufanya kazi ya Watanzania" amesema Selasini.
CC: Lijualikali.
Koromije ni kwenu wewe
Vijana wa CCM wakazieni ...hakuna mbeleko wakati nyie ndiyo mnakesha kukijenga chama wao wanakuja na mafungu yao mfukoni wanataka tena...mshawapa za uso safi sana...
Ndugai kamwigiza kingi kijana wa watu...very sad!!Kama namuona Lijualikali anavyo jipanga kwenda kujiunga na NCCR-MAGEUZI