Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Kwi kwi kwi kwi naona unafurahia kuwachiwa kazi ya kufanya usafi hapo lumumba [emoji23][emoji23]
Nipo safirini beirut wacha nikuchekie zawadi yeyote nikikwambia uchague utanitia aibu kama kipindi kile brunei mtu utaagizaje koti la mvua na bips
 
Ukiwa mwanasiasa mtaji wako ni kupendwa na watu na sio dola au mtawala.
Awakujiuliza ni Nani amewahi toka upinzani akang'ara ndani ya ccm, si kaburu, Lamwai, Mpendazoe, Lamwai ukienda ccm Ni lzm ufe kisiasa.
Usipoaminika upinzani huwezi aminika ukienda ccm
 
Hao waliwahi siti za mbele kwa kudanganywa eti upinzani utakufa na Hakuna atakayerudi bungeni hivo wakawahi kubebwa. Kumbe wamekufa wao kisiasa
 
Haswaaa ndiyo target yake na sasa wasaliti woote walio pigwa za shingo kwenye teuzi za ndani ya ccm watakimbilia huko NCCR
Naona anatuandaa kuwapokea vijana hao kama wagombea ubunge kupitia nccr
 
Ukiwa mwanasiasa mtaji wako ni kupendwa na watu na sio dola au mtawala.
Awakujiuliza ni Nani amewahi toka upinzani akang'ara ndani ya ccm, si kaburu, Lamwai, Mpendazoe, Lamwai ukienda ccm Ni lzm ufe kisiasa.
Usipoaminika upinzani huwezi aminika ukienda ccm
Ila nimeamini Freeman Mbowe ni jabali la siasa hapa Tanzania. Pamoja na kumtusi kote sasa wanampigia magoti hadharani.
Screenshot_20200807-180141.jpg
 
Waunga juhudi watamlaani jiwe maisha yao yote kawauza. Waendelee kuunga juhudi.
 
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.

Selasini ametoa kauli hiyo hii leo Agosti 7, 2020, Jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi na kuongeza kuwa vijana hao wanapashwa kuwapokea na kisha kuwalea na kuwarekebisha kwenye makosa yao na kuwapa nafasi za uongozi.

"Naviomba vyama vyote, chama changu cha NCCR-Mageuzi, CCM, CHADEMA tusiwatupe vijana, hata vijana ambao walihama kutoka CHADEMA kwenda CCM wakaenda kushindwa kwenye kura za maoni, tunajua vijana wanavyotangatanga hata katika kutafuta uchumba, wanatafuta fursa fungueni milango hao vijana warudi waweze, kufanya kazi ya Watanzania" amesema Selasini.

CC: Lijualikali.
Huyu mzee vip? Kwani huko walikohamia hakuna vijana? Wapambane....na hilo liwe funzo la kupenda hela za muda mfupi kwa hawa vijana
 
Vijana wa CCM wakazieni ...hakuna mbeleko wakati nyie ndiyo mnakesha kukijenga chama wao wanakuja na mafungu yao mfukoni wanataka tena...mshawapa za uso safi sana...
 
Kama namuona Lijualikali anavyo jipanga kwenda kujiunga na NCCR-MAGEUZI
Vijana wa CCM wakazieni ...hakuna mbeleko wakati nyie ndiyo mnakesha kukijenga chama wao wanakuja na mafungu yao mfukoni wanataka tena...mshawapa za uso safi sana...
 
Back
Top Bottom