Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

Huyu jamaa ana undugu na FELIX WAZEKWA?? Msaada kwa anae fahamu
 
Akina mbatia ndo walikua wapiga kura wa siri wa zile kamati za kumuadhibu Lissu wakati wa kampeni...
 
Halafu leo unaona kuna watu wanakaa vikao siliasi kabisa eti wanapanga mikakati ya kurudisha demokrasia na wanaaminiana kabisa

Muda utaongea na Kifungo cha yule Jamaa inawezekana ilikuwa ni kurudisha trusting ndani ya Chademà tu. Sasa anapiga boli Sana pale Kati kuwadhibiti wanaojaribu kulichafua taifa na kulikosesha vinono vya duniani.
 
sahihi
 
Acha uongo na wivu
 
Huu ugomvi asili yake ni marupurupu ya 2020.. Hawa wawili wanafahamiana vema na bado hawajayatapika yote.. Hii bongo movie ndio kwanza iko part 1

Kwa namna moja system imeweza kutuhamisha toka kwenye mada moto ya katiba mpya! This time wame score moja bila
Bado kuna movie ya ACT Wazalendo inaandaliwa itatoka karibia na uchaguzi mkuu
 
Hapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Siasa za bongo ni pwagu pwaguzi, wale wa zama I mtanielewa
 
Hii mbinu ya migogoro wanaitumia Sana, Naona inawalipa
 
Mbatia haaminiki kakutana na wasioaminika wenzie. Wanajaribu kufanya tusiwaamini wachaga katika siasa wako kimaslahi sana.
 
Lisu alifanya kazi kubwa kumtanguliza jiwe ahera, alindwa hata kufanya kampeni
 
Hapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Nchi hii bado baadhi ya watu wanadanganyika kuna siasa za upinzani! Tanzania kuna ajira za siasa za upinzani hiyo ni kazi ya kupatia mkate wa watoto.
 
Hapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Selasini anatumika na msajili wa vyama vya siasa
 
Kwanini hawakusema wakati ule ule kama ni kweli yeye na Komu waliamuwa “kutokushiriki haramu hiyo”?

Na kwasasa hivi nani anawasaidia ccm kama siyo yeye akishirikiana na msajili wa vyama?

Akili za kuambiwa…
Atakuwa ameingiziwa mzigo wa kutosha
 
Lissu alivutia umati upi wa watu!!? Unajitekenya na kucheka.
Kwan dikteta wenu yule anayeteketezwa kwa moto uko jehanamu alivutia nini zaidi tu ya kufanya uharamia kt uchaguzi.

Na nikutaharifu tu leo uko jehenamu ni zamu ya kuunguzwa kadudu kake mbwa pia muuaji mkubwa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…