Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

Watu wanapodai vyama vya Upinzani bill kibiashara zaidi huwa wako sahihi.

Hebu fikiria wabunge wa Chadema walivyohamia kwa kasi CCM. Wakati wa Dr Bashiru ni lazima mwenyekiti wa Chadema alihusika.

Hata hawa akina Halima Mdee na wenzake inawezekana kabisa Ilikuwa ni business

Hongera sana Baba Paroko kea kuweka ukweli mchungu hadharani.
 
Kwan dikteta wenu yule anayeteketezwa kwa moto uko jehanamu alivutia nini zaidi tu ya kufanya uharamia kt uchaguzi.

Na nikutaharifu tu leo uko jehenamu ni zamu ya kuunguzwa kadudu kake mbwa pia muuaji mkubwa yule
Umeimisi dudu yake, mpelekee hicho kitumbua akakisasambue.
 
Acha kumuhusisha mwenyekit na hayo manunuzi...ENDELEA kula penshen,pesa imeongezeka ya kulea wajukuu wetu...
 
Mbatia alivuta hela ndefu agawane na hao wachaga wenzake aliowavuta toka Chadema ili kuihujumu Chadema lakini akaingia tamaa akawatia ndani wenzake sasa wanajibu mapigo kimtindo.

Huyu siyo wa kumuamini kabisa na Chadema wakae mbali na hili sakata
 
Mbona viingozi wa upinzani na wachagga tu nchi hii kasoro zitto na rungwe
Kuna AAFP, kuna ADC, kuna ADA Tadea, kuna CUF, kuna UPDP, kuna UDP, kuna DP, kuna NRA n.k vyote sio Wachaga

Kuna vyama kama 32 Tanzania na vinavyyongozwa na Wachaga ni 3 tu Chadema NCCR na TLP
 
Hata hivyo alichoongea sio kweli

Kuna AAFP, kuna ADC, kuna ADA Tadea, kuna CUF, kuna UPDP, kuna NRA n.k vyote sio Wachaga

Kuna vyama kama 32 Tanzania na vinavyyongozwa na Wachaga ni 3 tu Chadema NCCR na TLP
 
kabisa
 
Pamoja na kuandika yote haya lakini ukweli ni kwamba ilikuwa ni ndoto Lissu kumshinda Magufuli kabisa hili jambo ni lazima sote tukubaliane japo ni gumu sana
Alimshinda mbona? πŸ˜‚πŸ˜‚
Jiwe lilitaka kumuua Lissu, lilivyo lipumbavu likafanya mpango wa kipuuzi sana wa assassination, eti kumpiga mtu risasi akiwa anatoka Bungeni, na likamkosa, likafanya propaganda kujaribu kuficha aibu

Lissu amepona, Jiwe limekufa, sijui kwa Covid, sijui liliwekewa sumu.. Maana hata CCM walikuwa wanaliona jitu lisilokuwa na akili timamu
 
Mwenyewe niliwaza hivyo ila tatizo ni kuwa huu uhuni wa msajili ukiachwa hivi hakuna chama ambacho kipo salama, labda CCM pekee
 
Hakuna hata upinzani ni wale wale, wafuasi akili mkichwa mnakuwa kama nyumbu, viongozi wanapiga pesa nyie huku mpaka mnakufwa [emoji3]wenyewe wanazeeshana tu na wenza wao
 
Pamoja na kuandika yote haya lakini ukweli ni kwamba ilikuwa ni ndoto Lissu kumshinda Magufuli kabisa hili jambo ni lazima sote tukubaliane japo ni gumu sana
Hakuna anayekataa kwamba angeshinda ila ukishapora uchaguzi hakuna atakayeamini hayo. Mfano kata yetu hatukupiga kura ya diwani au mbunge sababu walipita bila kupingwa so hatukushuhudia kampeni yoyote.

Cha kushangaza Voter turnout ilikua 100% yaani waliojiandikisha wote walipiga kura na zaidi ya 90% wakampa JPM!! ndio maana vitu kama hivi vinapunguza credibility ya ushindi wake.

Realistically naamini whether angeshinda or not ila kwenye nchi zenye Demokrasia gape huwa 60-40% sio eti 85%!!! Kwamba nchi Zima ikupende Hilo halijawahi kutokea.
 
hapa kinachoonekana walipopelekwa na Mbatia kwa Bashiru walikubaliana ila Mbatia akakabidhiwa mzigo but hajatoa gawio . Kwahiyo na wao wanamwaga ugali .
 
Huyu Selasini isijekuwa CDM wamemtuma NCCR akapindue meza.
 
Hata mbowe alisaidia sana CCM 2015 kwa kumleta Lowassa fisadi na kutupa wapambanaji.Wapinzani wote njaa tupu ukiona mtu anapiga kelele jua hajapata furusa.
Fursa ipi?Meko alihangaika kutembeza blank cheque ili Chadema wajiandikie bei yao na wakachomoa, wangetaka si wangeshalamba, waliofika bei ndio hao wako huko chama chakavu, Unafikiri mpaka alipoamua kutumia bunduki alipenda?

Na bunduki zilipofeli ndio mwanzo wa Presha na betri kwenye moyo kufeli, alipokuja kuingia ndugu Corona ndio akamaliza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…