Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Gwajima ana kanisa?Huyo hana akili niliachana mchumba wangu kwa kusali kwake na kutotaka kubadilika.. niliona mbaya future ya mtoto wangu, na niliapa wanangu lazima wasali kwenye kanisa la mnyororo..
Ila ktk hili la kwenda kumbagaza ndugai nipo pa1 nae.
Mbowe mumeweCcm wote ni nyumbu.. Haya yote yana fanywa kupotezea issue ya Mbowe.. Wote kwa sauti kubwa tuseme MBOWE SIO GAIDIIII... FREE MBOWE....
Mama atangaze haraka mabadiliko ya baraza la mawaziri maana sarakasi za wabunge kwa sasa zimekuwa nyingi sana kuvizia uteuzi!!Ameitisha mkutano na wanahabari muda huoView attachment 2069945
Hana lolote huyo kwa sasa ni sawa na joka la kibisa.Ameitisha mkutano na wanahabari muda huoView attachment 2069945
Uhuru wa kuongea upo,acha waongeeHii nchi kila mtu anazungumza tu! Tunaendeshwa kwa maneno maneno huku watu wanaweka Mambo yao dhahiri na kutuumiza tu!.
Gwaji alitishiwa kuundiwa tume ya kukagua ulipaji wa kodi kanisani kwake basi tangu siku hiyo kimyaaaGwajima mzee wa kuchochea kuni. Alishaelewana na shemeji yake waziri wa afya? Au ndiyo anakuja kumlipua?
Gwajima hawezi kwenda against na Ndugaye maana yeye ndiyo admin wa hiyo groupUpele umepata mkunaji.
Ndugai ajiandae kurudi upya India kutibiwa, safari hii asipoangalia bendera nusu mlingoti inatuhusu.
Hapana anakuja kutangaza ujio wa ile trenImawezeka anataka kutupa up date wakazi wa kawe za kuhamia Marekani
Kama sukuma gang adminAtaongea kama Askofu, Mbunge, au Mfanyabiashara Gwajima ?
Mkuu suala la mh Mbowe ni muda tu maana wale wataoji mikopo ndiyo wanao lisimamia na tayari wamesha toa msimamo wao.Ccm wote ni nyumbu.. Haya yote yana fanywa kupotezea issue ya Mbowe.. Wote kwa sauti kubwa tuseme MBOWE SIO GAIDIIII... FREE MBOWE....
Snitch au pornographer ?Ataongea kama Askofu, Mbunge, au Mfanyabiashara Gwajima ?
Mmh utakuwa uamuzi wa kijasiri! au kwa vile ameshindwa kuwatimizia wana-kawe ahadi alizohaidi?TETESI: GWAJIBOY KESHO ANAKUJA KUTANGAZA KUACHIA UBUNGE RASMI!
Ok sawa na chuo cha uvuvi Wajapan watakuwa tayari wamemaliza neema mwaka huu wakazi wa kawe tunachagua kuhamia Marekani au kuwa mabaharia najivunia kuwa mkazi wa kawe.Hapana anakuja kutangaza ujio wa ile tren