Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Hapa ndio kwenye ubora wako.

We jomba haunaga hasira asee, hata ree akiongea upupu unakuwaga tu calm.

Fanya urudi bakta, Dar sio Salama
[emoji112] [emoji112] [emoji122] [emoji122] ndio hivyo mkuu
 
Jamaa amedisco chuo kwaajili ya kukesha jf bila manufaa yoyote, hyu kijana ni wa kuhurumiwa sana, kwa sasa ana frustration kubwa mno,. Ukimuona utamuonea huruma. Ni mchizi wangu.
 
Mkuu mbona hii ni forum huru nadhan una hate yye kuwa popular humu JF
Kwan wwe mchango wako nani aliye query on it amejaribu kutoa justification ya nyuz zilizo kuwa zina mzungumzia au ulitaka uzungumziwe wwe instead of him
 
Naona umerudi tena baada ya kupotea humu jukwaani kwa mara ya pili.
Yaani wewe sikuwezi aisee watu wakazusha upo kwenye mtihani wa taifa wa darasa la saba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…