Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Hapa ndio kwenye ubora wako.

We jomba haunaga hasira asee, hata ree akiongea upupu unakuwaga tu calm.

Fanya urudi bakta, Dar sio Salama
[emoji112] [emoji112] [emoji122] [emoji122] ndio hivyo mkuu
 
Nimekuwa wa kwanza ku reply?
images
Du hii picha, ndo ya wale jamaa baada ya kusomewa nanihii!
 
Jamaa amedisco chuo kwaajili ya kukesha jf bila manufaa yoyote, hyu kijana ni wa kuhurumiwa sana, kwa sasa ana frustration kubwa mno,. Ukimuona utamuonea huruma. Ni mchizi wangu.
 
Huu ujinga wa ety Fulani back ni upuuzi,MTU anafungua id mbili then anajipigia debe ??pumbf bora the bold anaeleweka na anatoa facts huyo mpuuzi sijui ata anamchango gani jukwaani,huyu mjinga tyu no need kumjadili mpuuz kama huyu mchango wake its almost 0% ety kukoment wa kwanza wakat hana hata point sifa za kijinga tyu
Mkuu mbona hii ni forum huru nadhan una hate yye kuwa popular humu JF
Kwan wwe mchango wako nani aliye query on it amejaribu kutoa justification ya nyuz zilizo kuwa zina mzungumzia au ulitaka uzungumziwe wwe instead of him
 
Back
Top Bottom