Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #681
Mimi pia nawakubali wanaJFJoseverest Wana JamiiForums wengi the unakupenda
Joseverest Wana JamiiForums wengi tunakupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia nawakubali wanaJFJoseverest Wana JamiiForums wengi the unakupenda
Joseverest Wana JamiiForums wengi tunakupenda
[emoji112] [emoji112] [emoji122] [emoji122] ndio hivyo mkuuHapa ndio kwenye ubora wako.
We jomba haunaga hasira asee, hata ree akiongea upupu unakuwaga tu calm.
Fanya urudi bakta, Dar sio Salama
Du hii picha, ndo ya wale jamaa baada ya kusomewa nanihii!Nimekuwa wa kwanza ku reply?
![]()
Unamlenga Joseverest...!?Namfaham vzr, nilimsihi sana kukazana na shule akaniletea mapuuza.
Mkuu mbona hii ni forum huru nadhan una hate yye kuwa popular humu JFHuu ujinga wa ety Fulani back ni upuuzi,MTU anafungua id mbili then anajipigia debe ??pumbf bora the bold anaeleweka na anatoa facts huyo mpuuzi sijui ata anamchango gani jukwaani,huyu mjinga tyu no need kumjadili mpuuz kama huyu mchango wake its almost 0% ety kukoment wa kwanza wakat hana hata point sifa za kijinga tyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umerudi tena baada ya kupotea humu jukwaani kwa mara ya pili.
Yaani wewe sikuwezi aisee watu wakazusha upo kwenye mtihani wa taifa wa darasa la saba
Poa poa mkaliKaribu sana Mkuu
Hapahapa Bongo Bahati MbayaUlikuwa Congo nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa kwenye harakati za kutafuta grease ya kulainisha vyuma mkuu na nimepata afadhaliJamaa karud alafu kapotea kweli vyuma vimekaza hahahah
Aiseee poa mkuu..napambana badoJamaa amedisco chuo kwaajili ya kukesha jf bila manufaa yoyote, hyu kijana ni wa kuhurumiwa sana, kwa sasa ana frustration kubwa mno,. Ukimuona utamuonea huruma. Ni mchizi wangu.
Namfaham vzr, nilimsihi sana kukazana na shule akaniletea mapuuza.
Thank you very much Dear moneytalkAweee ur welcome cwthrt
Ndio likizo (ila sio ya shule)Tumekumis ulikua likizo au