Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Sasa mkuu wewe ndio uko kwenye notification center ya Account yangu ya JF?? Jibu ni hapana... Taarifa ni nyingi mno zimezushwa sikatai ila nimefanya kuzifupisha tu ieleweke nisiwachoshe watu kwa thread ndeefu... Speed yangu ya kusoma naijua mwenyewe kwa hiyo usihofu.....hiyohiyo jana nilizisoma
Haya Jose ila mbona mpaka unaondoka Dar hujanishtua mkuu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Umekuja kimya kimya umeondoka kimya kimya.
 
Aaah wap hazirud [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Hahaha
Soma vizuri kabisaa comrade....

Ile siku nililia kikubwa mnoo jamanii.... Woooiii
Comrade......
Hii dunia ina mambo mengi sana aiseee.....
Naona kuna vijana wanazidi kumsakama Joseverest pamoja na kwamba amejitahidi kujieleza kwamba alikua katika mizunguko yake ya kawaida kwenye kutafuta ugali
 
Back
Top Bottom