Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.
Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na hatia.
REST EASY.