Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

Mshazika migombani , maana alipigwa risasi za kutosha kwa kupigania taifa la Mungu ..Kaacha kwao nyuma imepauka 😀 😀
20240930_093242.jpg

Nasikia tobo walilokuachia ni kubwa kama hili banka la nasrall lililolipuliwa
 
View attachment 3128414
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.

Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
View attachment 3128415

Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na hatia.

REST EASY.
Vita haina macho, najua hapa kinachowauma, ni vijana wasfrika, wakristo(wana majina ya kikristo), kuuliwa na waarabu(Muslim),
Hapa hapa bongo, kuna watuwanauliwa kila siku, Kule nigeria, kuna wakristo 200+wameuliwa na magaidi ya kiislam(meusi), lakini hiyo haiwaumi, maana ni jitu jeusi limeua mweusi mwenzie!
South Afrika, wenyeji weusi wanaua weusi wahamiaji kila Leo, lakini hutasikia hizi hisia, hao vijana walijikuta, "wrong place, at the wrong time" It's just war nothing personal,
 
Kwani kuvaa boksa ya jeshi ni dhambi? Mbona unakua na akili mgando kama za mabakabaka wa bongo?
Achana na huyu fala maji

Unavbishana na mtu anaeanini akikuua anaenda kupata mabikra 72👽
 
Kwani kuvaa boksa ya jeshi ni dhambi? Mbona unakua na akili mgando kama za mabakabaka wa bongo?
Angalia mazingira usiwe mpumbavu ,wanajeshi wa kigeni wako kibao kweny jeshi la Israel ..Hao Hamas walimfuata Tanzania?
 
Angalia mazingira usiwe mpumbavu ,wanajeshi wa kigeni wako kibao kweny jeshi la Israel ..Hao Hamas walimfuata Tanzania?
20241018_100807.jpg

Tulia wewe

Mme wako alikuwa anakucheat

Marinda hauna
 
Back
Top Bottom