Uchaguzi 2020 Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.

Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na Speaker wa bunge kwa kosa la utoro. Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

Lakini pia alichukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge napo aliangukia pua baada ya kujikuta akishindwa kesi mahakamani na hivyo kupoteza ubunge wake. Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

Baadae alichukua maamuzi magumu kama alivyoyaita na kuamua kuondoka CHADEMA na kuhamia chama cha Mapinduzi, ambako yupo mpaka sasa akiomba ridhaa ya kugombea ubunge tena kupitia CCM kwenye jimbo lilelile la Arumeru. News Alert: - Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

1594967802191.png
 
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.

View attachment 1509159
Alisema akienda CCM wasimnusenuse matako maana hajaenda kutafuta ubunge. Sasa kaingia Zizini anaanza kuwanusanusa wao.

Wakimnusanusa na matokeo wakimpiga vichwa asije kulialia huku. Jingasana yeye.

Na aseme kabisa kama mke wake ashafunga uzazi maana akipata mimba nyingine anafukuzwa kazi.
 
Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
 
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.

Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na Speaker wa bunge kwa kosa la utoro. Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

Lakini pia alichukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge napo aliangukia pua baada ya kujikuta akishundwa kesi mahakamani na hivyo kupoteza ubunge wake. Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

View attachment 1509159
Hapiti.
 
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.

Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na Speaker wa bunge kwa kosa la utoro. Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

Lakini pia alichukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge napo aliangukia pua baada ya kujikuta akishindwa kesi mahakamani na hivyo kupoteza ubunge wake. Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

Baadae alichukua maamuzi magumu kama alivyoyaita na kuamua kuondoka CHADEMA na kuhamia chama cha Mapinduzi, ambako yupo mpaka sasa akiomba ridhaa ya kugombea ubunge tena kupitia CCM kwenye jimbo lilelile la Arumeru.

View attachment 1509159
Wananchi watakula matapishi yao, njaa, urohoo wa madaraka.
 
Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
Yaani mjomba Meko kajichapishia fomu moja ya nafasi ya urais then kwenye ubunge zimechapwa fomu elfu kumi kwa kila jimbo.

Meko ni mbinafsi sana tena ni mwoga wa upinzani.
 
Mtu kama Nasari, hawezi kuaminika na mtu yeyote. Hata huko CCM waende naye kwa tahadhari.

Mtu ambaye yupo tayari kufanya chochote kwaajili ya tumbo, usimwamini kwa lolote. Use him/her when you are really stuck. Baada ya pale achana naye.

CCM kama wamekosa watu, wawachukue na wawatumie hao nungayembe. Malengo yakifikiwa wawaachie waendelee kutangatanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My life style like movie,
Mwingi ka uduvi,
Ninavyo-rhyme quality ka mtoto wa juzi

Nimemmmiss sana Chid mazee
 
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.

Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na Speaker wa bunge kwa kosa la utoro. Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

Lakini pia alichukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge napo aliangukia pua baada ya kujikuta akishindwa kesi mahakamani na hivyo kupoteza ubunge wake. Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

Baadae alichukua maamuzi magumu kama alivyoyaita na kuamua kuondoka CHADEMA na kuhamia chama cha Mapinduzi, ambako yupo mpaka sasa akiomba ridhaa ya kugombea ubunge tena kupitia CCM kwenye jimbo lilelile la Arumeru. News Alert: - Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

View attachment 1509159
wAna arumeru fanyeni kama 2015
 
Yaani mjomba Meko kajichapishia fomu moja ya nafasi ya urais then kwenye ubunge zimechapwa fomu elfu kumi kwa kila jimbo.

Meko ni mbinafsi sana tena ni mwoga wa upinzani.
Uliomba form ukanyimwa?
 
Back
Top Bottom