Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,407
- 20,572
Huyu nae akipitishwa na chama chake ubunge anachukuaNasari akiteuliwa na chama chake kugombea ubunge anachukua
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nae akipitishwa na chama chake ubunge anachukuaNasari akiteuliwa na chama chake kugombea ubunge anachukua
Umeona eeh! Halafu kila saa kujichekesha chekesha tuu, au ndio dental formula yake nini mi naona vibaya?Haka si kalisema hakajafuata vyeo CCM? Haka kajamaa sijui hata Chadema tulikaokota wapi? Kana tabia za wale wanaume wengine!
Yaani sikuhizi hakuna chama cha kufuata Ila jpm? CCM imejifia imezaliwa Magufuli Revolution Party.Alimuelewa Mheshimiwa JPM Mapema sana.
Woyooooooo....Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.
Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na Speaker wa bunge kwa kosa la utoro. Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni
Lakini pia alichukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge napo aliangukia pua baada ya kujikuta akishindwa kesi mahakamani na hivyo kupoteza ubunge wake. Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge
Baadae alichukua maamuzi magumu kama alivyoyaita na kuamua kuondoka CHADEMA na kuhamia chama cha Mapinduzi, ambako yupo mpaka sasa akiomba ridhaa ya kugombea ubunge tena kupitia CCM kwenye jimbo lilelile la Arumeru. News Alert: - Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
View attachment 1509159
Namuonea huruma tundu lissu, hata nyie wafuasi wake mmemsahau kumpigia chapuo. Yaani kasahulika kabisa.Haka si kalisema hakajafuata vyeo CCM? Haka kajamaa sijui hata Chadema tulikaokota wapi? Kana tabia za wale wanaume wengine!
Hawa wana pitishwa na wakurugenzi wa uchaguzi safari yii ni kupindua meza tu kitakacho fanyikaHao wameru wakimchagua watakuwa wamevuta ile bangi!
Kadogo kapumbavu tu kanakenua meno yaliyooza kanafikir kanasupport katajuta maisha take yote kasubir mda utakaambia.Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.
Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na Speaker wa bunge kwa kosa la utoro. Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni
Lakini pia alichukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge napo aliangukia pua baada ya kujikuta akishindwa kesi mahakamani na hivyo kupoteza ubunge wake. Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge
Baadae alichukua maamuzi magumu kama alivyoyaita na kuamua kuondoka CHADEMA na kuhamia chama cha Mapinduzi, ambako yupo mpaka sasa akiomba ridhaa ya kugombea ubunge tena kupitia CCM kwenye jimbo lilelile la Arumeru. News Alert: - Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
View attachment 1509159
Lumumba bhana huwa nawafananisha na wapumbav maana yote mapoyoyo.Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
Kijana amekua na chama cha waliokuwa kiakili ni CCMLumumba bhana huwa nawafananisha na wapumbav maana yote mapoyoyo.
Maandamano ni sawa na ulivoandika wewe hapa, ni aina nyingine ya kujieleza, inaonesha hujui vitu vingiUkishaandamana unalipwa or?? Fanyeni shughuli za kuwaletea kipato acheni ujinga
Kweli wee jingalaoDogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano