Uchaguzi 2020 Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru

Duuuuh huyu angetakiwa awe idara ya TISS, kaona kukaa miaka 5 bila ubunge ngumu kamua kujitosa kutia nia
 
Yaani mjomba Meko kajichapishia fomu moja ya nafasi ya urais then kwenye ubunge zimechapwa fomu elfu kumi kwa kila jimbo.

Meko ni mbinafsi sana tena ni mwoga wa upinzani.

Si kweli, uongo unakusaidia nn, yaani unasema uongo wa wazi hata ww mwenyewe unajua ni uongo wa wazi, fomu za Urais CCM ziko kibaooo, kwanini muongo hv ww
 
Arumeru ipi? Mashariki au Magharibi? "Itoshe kusema" Hiyo laki aliyochukulia form ni bora angenunua Mask na "SANTAIZA" kujikinga na korona kuliko kuipoteza kwenye form.
Nyie wana CHADEMA ndio mlimsaliti kwa kuendekeza maandamano badala ya maendeleo
 
Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
Katiba ya JMTz haizuii maandamano, uoga wenu tu.
 
Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
Katiba ya JMTz haizuii maandamano, uoga wenu tu.
 
Yaani mjomba Meko kajichapishia fomu moja ya nafasi ya urais then kwenye ubunge zimechapwa fomu elfu kumi kwa kila jimbo.

Meko ni mbinafsi sana tena ni mwoga wa upinzani.
Mbona kina Bulaya, Mdee, Heche, Sugu, Matiko, prof.jay walikua wagombea pekee na wamepitishwa kwa kupigiwa kura za ndiyo na hapana au na hawa walijichapishia fomu moja.
 
😂 Kwa hiyo, kwa mujibu wa maelekezo ya yesu wa Burigi, itabidi rafiki yangu Mh John Palangyo amuachie ugombea, muhamiaji aliyejitangaza kwa kuchelewa?
Ndio maana Nassari ana uso wa furaha ya kishetani (isiyotokea moyoni)?
 
Nyie wana CDM ndio mlimsaliti kwa kuendekeza maandamano badala ya maendeleo
Mmemuingiza Choo cha kike huyo DOGO JINGA ,Wenzake kina Lipumba/Mrema/Cheyo wanayafanya haya kwakuwa umri ushakwenda sasa yeye ndio kwanza yupo early 30's halafu analeta usaliti/uchawi,ngoja kura za maoni atemeshwe ndoano kwanza UJINGA umtoke.
 
NASSARI NI CHAGUO LA WANA ARUMERU MASHARIKI, TUNAKUMBUKA MIAKA YAKE MIWILI TU AKIWA MBUNGE TAYARI MASHAMBA PORI YALIKUWA MIKONONI MWA UMMA.RECORD YAKE ITAMBEBA NA TUNAMHITAJI SANA KULIKO JANA
 
Huyu Joshua Nasari amekuaje had amechukua form ya kugombea ubunge Kwa ticket ya Ccm kabla hajajiunga uanachama? Wakuuu hiii imekaaje? Kuna mtu wake wa karibu kabisa huku meru kanitonya kuwa Nassari hana Kadi Ya Ccm, hajapewa Kadi, sasa hiii mbona inaleta ukakasi? Chama chetu cha mapinduziiii cha jenga nchii na kuleta mapyaaaaa
 
Awa ndo wale walio pewa u VIP kwenye mchakato na Bwana jiwe
 
Huyu dogo ni mlikole lakini wokovu wake sijui wa kiwapi, kauza jimbo, kadanganya yupo marekani na kujisahau kumbe ulikuwa mpango mahususi wa ccm, WOKOVU WA NASSARI MASHAKANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…