Uchaguzi 2020 Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru

Njaa mbaya sana aisee, wamkate tu jina lake ndio aoene raha ya demokrasia ya CCM ilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haka si kalisema hakajafuata vyeo CCM? Haka kajamaa sijui hata Chadema tulikaokota wapi? Kana tabia za wale wanaume wengine!
Umeona eeh! Halafu kila saa kujichekesha chekesha tuu, au ndio dental formula yake nini mi naona vibaya?
Hivi vivulana huwa ndio vinachapiwa na wanaume wenye misimamo yao.
 
Woyooooooo....
Jembe atafanya kazi vizuri sana na jpm.
 
Haka si kalisema hakajafuata vyeo CCM? Haka kajamaa sijui hata Chadema tulikaokota wapi? Kana tabia za wale wanaume wengine!
Namuonea huruma tundu lissu, hata nyie wafuasi wake mmemsahau kumpigia chapuo. Yaani kasahulika kabisa.
 
Msaliti hawezi kuaminika sehem yoyote. Hata huko ccm sidhani kama atapenya
 
Kadogo kapumbavu tu kanakenua meno yaliyooza kanafikir kanasupport katajuta maisha take yote kasubir mda utakaambia.
 
Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
Lumumba bhana huwa nawafananisha na wapumbav maana yote mapoyoyo.
 
Dogo janja karibu CCM Kumenoga!
Eti kuna watu utasikia sijui msaliti sijui nini...wajibu kuwa wasaliti ni wao waliokataa maendeleo wakajikita kuhamasisha maandamano
Kweli wee jingalao
 
Nasari ni mnafiki na hayawani. Tatizo siyo kujiunga na CCM wala kugombea, au kugombea kupitia CCM. Tatizo kubwa ni kwa nini uwe mwongo, upende kuendesha siasa za hila.

Kwa nini usisimame ukatamka wazi kuuelezea msimamo wako kuliko kutangatanga huku na kule ili kuwadanganya watu waamini kuwa amefukuzwa ubunge?

Alifanikiwa kuwadanganya wenye akili ndogo kama za kwake lakini wenye akili timamu wote walitambua toka mwanzo kuwa Nasari alikuwa amenunuliwa, akaamini ana akili kuwazidi mbuzi wenzake walionunuliwa kwenye mnada wa hadhara, kwa vile tu yeye manunuzi yalifanyika kwenye machungio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…